Kwa faida tu kuwanishakuambia huyo messi wako mwalimu wake gaucho
vile vitu vya ziada unavyoviona kwa messi ni copy and paste toka kwa gaucho
niamini mimi
Mi mwnyw ananipa mashaka mkuuHahaha unachekesha wewe sijawahi ona gaucho anakusanya kijiji cha watu wa 5
Acha ushabiki ona aibu mkuu
Ligi ya mabingwa wana PSG ***** hali mbaya sana


na iwe hivo....http://thesportek.com/p/mama.php?id=17816&match=FC Barcelona vs RCD EspanyolWadau nisaidien link ya game ya baadar
Ondoa shaka. Hiyo inaitwa double flank. Sergi na vidal kule Kulia. Alba na Lujan kulia kushoto.Vidal daaah simuamin kabsa![]()
![]()
![]()
Shukran mkuuhttp://thesportek.com/p/mama.php?id=17816&match=FC Barcelona vs RCD Espanyol
Hiyo hapo ni Bein Sport English
Wanakuambia mpira sio statistic eti, mpira burudani
Nilipo sikia ivyo nikaamua kuachana nao tuu... maana wengi ni wazee wazamani mpira waliachaga kuangalia sikuizi.
Tuwasamehe tu hawa wazee uchwara wanaosema Mhamfiki dinho
Nyumba ya jirani yetu imewaka moto leo,wamepigwa na leganes nyumbani bernabeu. In short wametolewa copa del rey
Nimeweka facts zangu. Ziko wazi.
Sasa kama wewe unasema Gaucho ni overrated bila kua na facts, basi hauna tofauti na Nabii Tito!
Facts hupingwa kwa facts. Not empty words
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna mtu anaweza kuongea kitu ukabaki unashangaa, huyu mtu anatoa wapi mawazo ya ajabu namna hii?
Yani leo kuna mtu anasema Gaucho is overrated?
Come on man, stick to fashion magazines, football is not for you!
Eti mtu anasema Ronaldinho overrated kisa hana statistics Kali za magoli mengi?
Hivi unajua kwamba john Terry ana mabao mengi ya EPL kuliko mabao ya Iniesta LALIGA?
Je, Iniesta ni overrated?
Ronaldinho won two balon d'ors cause he deserved them, not by luck!
Hivi unafikiri mashabiki wa real Madrid ni wajinga kusimama na kumpigia makofi Gaucho pale Santiago Bernabeu?
Unamfananisha Gaucho na Coutinho, unaangaliaga mpira kweli au hua unasikiliza kwenye redio?
Dinho was a play maker, so you won't judge him by his goals statistics.
Speed, stamina, control, dribbles, nutmegs, free kicks, wonderful goals, inahitaji kujitoa ufahamu kusema huyu jamaa ni overrated!
Kwangu Mimi Gaucho is the second best player after Messi in the current generation (there is a room for argument here).
Otherwise, unaweza kubishana na mtu ukidhani anajua mpira kumbe unabishana na nabii Tito!
No hard feelings.
Adiós amigos
View attachment 684368
Anafaa sana Barcelona amekwiva mifumo na styles (philosophies)
View attachment 684376
Masche huyo