FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu mimi ni barca damu lakini sijaona gaucho alichofanya zaidi ya kuweka mpira matakoni Mara kichwani ana kipi kipya zaidi ya kuchezea mpira
Ambao mpo brainwashed ni nyie mnaomtetea gaucho mkiambiwa mleta statistics mnaanza kujibu ujinga messi ni bora Mara 7 ya gaucho

acha kujitia barca damu wewe mbweha nenda kafate neymoney psg najua unatafuta sana umaarufu kupitia jf
 
Mimi Enzi za Gaucho,mpira nilikuwa siujuwi-hence I cannot judge-je Gaucho in his prime na Messi in his prime nani angekuwa the first in the team sheet???
I would go for Messi.

Kuna kitu kimoja tu ambacho Messi amemzidi Gaucho. SCORING WHENEVER HE WANTS!

Goal scoring statistics don't favour Ronaldinho over Messi. He was one hell of a play maker. Ila still, I'd go for Messi
 
Mkuu
Tafadhal naomba stats za mafanikio ya gaucho kwny kabumbu
Hizi hapa boss.

Screenshot_2018-01-25-13-43-41.png
 
Hebu nipe facts zako zinazo onyesha kua a winner of two balon d'ors was overrated!

Kama hauna let's call it a day!

mkuu unapoteza muda kubishana na shabiki wa neymoney nafikiri angemfata tu huko psg maana barca mashabiki wa kweli tunakumbuka mchango wa gaucho kwenye mapinduzi ya barca yetu ambayo ilipotea toka 1999-2003
 
Kuna watu humu JF,walitaka huyu apigwe bench-kwamba Velverde anakosea kumpanga-hakuna hitman katika present world soccer mwenye vision ya goal kama huyu-he may miss a chance or two but presence yake upfront ni priceless,his movements off the ball hana mfano no defender is at peace akiwepo
 
Nakumbuka ni mwanzo wa msimu ila mimi nilikua nasingizia hayuko fit kwa sababu ya injury ili tu tumpe muda i kept faith on him kama ujio wa Paulinho i was ooh no comment
 
Wakuu mm niko tofauti kidogo, mtazamo wangu sioni haja ya kuja kwa Grezmani. Wachezaji tunao, watatusumbua sana kuna wengine wataaza kuindoka. Akija kijana kama Dembele anaweza fikiri kuondoka pia tuna dogo kama Arnaiz anapiga fresh tu.
 
Mkuu tunataka squad yetu iogopwe duniani kote tunataka kama ni laliga first leg game na madridiots kikosi kingne second leg kikosi kingne na game zote achezee kipigo
 
aisee nyie watu manaobishana hapo juu anaebisha kwamba ronaldinho hakuwa gwiji la soka mbora pengine kuliko wote
**** anina zake yeye ni pimbi hajui soka

nyie watu mnanipa hasira unaanzaje kumuunderate gaucho hali ya kuwa messi iniesta wamefundishwa mautundu na gaucho?

mnanipa hasira nyoko zenu nyie kila mkihema

acha nimalizie konyagi yangu ntarudi badae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom