A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Unajitia mjuzi kumbe pimbi tuu
Unajitia mjuzi kumbe pimbi tuu
Uswaz tunaita madoidoSure gaucho alikuwa mchezea mpira sio mcheza mpira
Watu wengi wanavyoandika kuhusu Gaucho utafikiri kuwa hakuna wachezaji wengi watakuja kuwa kama yeye.Zile nyakati zao ziliruhusu mpira kuwa jivyo.Kipindi hiki tuna modern era za mafunzo na jinsi ya kutawala mpira,kwa hiyo mambo yale sijui umefanya hiki ni mara chache sana.shida kichaa fulani anakuja nakusema gaucho hajui mpira hana mafanikio yeyote zaidi ya kuweka mpira shingoni
Kama enzi za ramadhani chombo redondoUswaz tunaita madoido
Javie Mascherano, anaondoka clubuni Barcelona baada ya kuitumikia kwa miaka 7na nusu. Mascherano aliyejiunga na Barca akitokea Liverpool mwaka 2010 anakwenda kujiunga na moja ya vilabu vinavyocheza ligi kuu nchini china.
Kuna taarifa kuwa amesign mkataba wa miaka mi2 utakao mwingizia $19m kwa miaka miwili.
Javie ameichezea barca jumla ya game 332 na kufunga goal 1.View attachment 683573
Acha kuimba taarabu gaoucho was overratedKuna mtu anaweza kuongea kitu ukabaki unashangaa, huyu mtu anatoa wapi mawazo ya ajabu namna hii?
Yani leo kuna mtu anasema Gaucho is overrated?
Come on man, stick to fashion magazines, football is not for you!
Eti mtu anasema Ronaldinho overrated kisa hana statistics Kali za magoli mengi?
Hivi unajua kwamba john Terry ana mabao mengi ya EPL kuliko mabao ya Iniesta LALIGA?
Je, Iniesta ni overrated?
Ronaldinho won two balon d'ors cause he deserved them, not by luck!
Hivi unafikiri mashabiki wa real Madrid ni wajinga kusimama na kumpigia makofi Gaucho pale Santiago Bernabeu?
Unamfananisha Gaucho na Coutinho, unaangaliaga mpira kweli au hua unasikiliza kwenye redio?
Dinho was a play maker, so you won't judge him by his goals statistics.
Speed, stamina, control, dribbles, nutmegs, free kicks, wonderful goals, inahitaji kujitoa ufahamu kusema huyu jamaa ni overrated!
Kwangu Mimi Gaucho is the second best player after Messi in the current generation (there is a room for argument here).
Otherwise, unaweza kubishana na mtu ukidhani anajua mpira kumbe unabishana na nabii Tito!
No hard feelings.
Adiós amigos
Zaidi ya kuchea mpira hana jipya
Nimeweka facts zangu. Ziko wazi.Acha kuimba taarabu gaoucho was overrated

Fact gani zaidi ume narrate story tu.Nimeweka facts zangu. Ziko wazi.
Sasa kama wewe unasema Gaucho ni overrated bila kua na facts, basi hauna tofauti na Nabii Tito!
Facts hupingwa kwa facts. Not empty words
![]()
![]()
![]()
![]()