BabuK
JF-Expert Member
- Jul 30, 2008
- 1,845
- 329
Kuna breaking news za juhudi za FBI uchukua misikiti hio minne na jengo la Ofisi vilivyoko jijini Manhattan, USA. Misikiti na jengo hilo vinamilikiwa na NGO iitwao Al Alavi Foundation inayofadhiliwa na Iran. Juhudi hizo ni pamoja na kukamata akaunti za Alavi.