Hii sasa ndiyo ndoto ...Kuna ndoto watu huwa wanaota, na zingine rafiki yako anakuotea, chagua ipi ni yako?
ISLAM IS DEAD MPAKA MACCA
The world will have muslims and christians..all the time ...kilichobaki ni kukubali kutika kutofautiana hii mambo ya kufungia misikiti, sijui kupiga mabomu watu ili wawe (wakristo) ni danganya toto..na siyo sustainable lol..elewa lugha rahis tu hiyo..What about the vise versa of it? Is it not the same thing?
duhKuna breaking news za juhudi za FBI uchukua misikiti hio minne na jengo la Ofisi vilivyoko jijini Manhattan, USA. Misikiti na jengo hilo vinamilikiwa na NGO iitwao Al Alavi Foundation inayofadhiliwa na Iran. Juhudi hizo ni pamoja na kukamata akaunti za Alavi.
Nini point yako? US hawawezi kukataza Misikiti isijengwe. Kuna Waislamu more than Million 15 in US; baada ya muda tu kama miaka 100 utasikia Waislamu watakuwa majority in US, North America and Europe. Kazi kwenu haters..
Nini point yako? US hawawezi kukataza Misikiti isijengwe. Kuna Waislamu more than Million 15 in US; baada ya muda tu kama miaka 100 utasikia Waislamu watakuwa majority in US, North America and Europe. Kazi kwenu haters..
Ni wapi US imesema kuwa Misikiti isijengwe? Mbona lugha inakuwa ngumu kwa Muham-madans?
Tatizo ni uhusiano wa Misikiti na siasa za uarabuni.
Ni wapi US imesema kuwa Misikiti isijengwe?Misikiti na Siasa za Middle East? Explain more..
Lakini jamani si kuna nchi za kiislamu ambazo hata kujengwa makanisa hawa taki?
The world will have muslims and christians..all the time ...kilichobaki ni kukubali kutika kutofautiana hii mambo ya kufungia misikiti, sijui kupiga mabomu watu ili wawe (wakristo) ni danganya toto..na siyo sustainable lol..elewa lugha rahis tu hiyo..
Misikiti na Siasa za Middle East? Explain more..
Uliza Somalia wanasema ni Ardhi 'takatifu' hata Mkristo akifa haruhusiwi kuzikwa katika ardhi ile. Huu 'utakatifu' sijui unawafikisha wapi!
Hawa jamaa nadhani lugha yao huitafsiri kwa aina wanayojua wenyewe, Mara vita vitakatifu, Mauaji matakatifu, ugaidi mtakatifu, pedophile takatifu, majini matakatifu, Nyumba ya ibada takatifu lakini ndani yake watu wanajifunza kutumia AK47..., Nadhani kuna haja ya kutafsiri neno takatifu maana inaelekea kuna watu wanaharibu na kupotosha maana yake.
Wacha longo longo wewe kuna 2.5 million Muslims in the U.S hii ni kutokana na report ya Pew Research Center iliyotoka October 8th 2009.
MwanaFalsafa1
Tofautisha kati ya Saudi na USA. Saudi Arabia siyo USA. US ni nchi ya kila mtu. Saudi inahaki ya kufanya itakavyo kwa mujibu wa sheria wa zao.
Obama yupo kama Bush tu. Vitu vidogo wanapanic, na kuescalate the issue. Hizi ndizo mistake alizofanya Bush, na naona Obama anafanya vilevile. Kazi kwao, wasichezee Misikiti, nyumba za Mwenyezi Mungu zenye wafuasi wa Ukweli.
Ni wapi US imesema kuwa Misikiti isijengwe?
Anza kufuatilia topic ilivyoanza na siyo kukurupuka tu.
That's hypocrisy of the highest caliber. Ndiyo yale yale ya chako chetu changu changu.
Hiyo ndiyo hofu yako kaka! nani kakwambia Mmerakani ni nchi ya wakristo pekee? dunia yote ni mwenyezi mungu wengine wamefika merakani kwa lazima (watumwa), wengine wamefika kwa biashara, wengine wameitwa kwa kazi maalum wengine wamefika kueneza dini ya Allah kwakuwa ni wajibu..so hakuna wakumzuia muislam kwenda kokote!
As for Saudia I didn't undertand your argument nendeni mkajenge huko makanisa...who cares mbona yako zanzibar makanisa makubwa waumini hakuna ndugu mpaka wakati wa uchaguzi wanapokuja askari kutoka bara hufanya ibada lol.
Ndiyo dunia ilivyo, sijaanzisha mimi huu mfumo. USA imechoose kuwa nchi ya kila mtu in order to gain economic advantage.