FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

Hivi kwa nini Zanzibar haipo kwenye ratiba ya Obama wakati ni sehemu ya Jamhuri?

Je huu sii ubaguzi??

Hawa wanasubili ujio wa sultan si unajua itikadi zetu zinavyobagua! Hata hivyo ile ni nchi inayojitegemea watapanga ratiba akienda huko
 
Ah! Wengine tulishampkea YESU.
Nyie endeleeni kukanyagana na kubaguliwa kwa ajili ya huyo mungu wenu, mungu wa feha, dhahabu, maaraka, majivuno na manyanyaso.
 
WanaJF

Obama haji kubembea Kama baMwanaasha.
Mwigulu hatakiwi kuwa hata Dar es salaam! Usalama wa Obama utakuwa mashakani kwa kusingizia nchi jirani
 
ujio wa obama jamani ni adhabu kweli kwetu wakaz wa dar,kila barabara foleni,its too much kwakweli,na huenda baada ya ziara hii nchi ikawa imepata hasara kubwa kiuchumi
 
ccm WAMEZOEA KUJIPENDEKEZA SASA HAPO NDO MUONE FAIDA ZA KULEA WAMAREKANI...........YAANI NI SAWA NA SHERIA YA NDOA KUWA UKIKUBALI KUOLEWA BASI UKUBALI KULALA BILA NGUO NA SASA IKO KWETU

nisaidie mdau,sheria ya ndoa ya mwaka gani?,au ipo katika kitabu gani?Qur'an au biblia??
 
Teh teh! Nadhani hata watakaomuangalia kupitia TV nao pia watachaguliwa na wamarekani, vipi wale wanaochezaga na vinyoka uwanjani!?
 
Mtumwa atabaki kua mtumwa milele.

Mgeni wako unamkabidhi nyumba yako??????

Hii ni kalii

Ogopa umasikini.
Mkuu sio Umasikini tu, ni utumwa wakifikra ndio unao tusumbua sisi waafrica. Africa hatuna viongozi bali ni vibaraka tu, kama viongozi walisha pita, akina kwame nkuruma akina Samora moses Macheli akamalizia na Gadafi hawa tulio nao ni wahoga. Ipo siku viongozi wetu wata tiwavidole na hawata diliki kuhoji kulikoni kisa ni Marekani. Nimechukizwa na hili.
 
ccm WAMEZOEA KUJIPENDEKEZA SASA HAPO NDO MUONE FAIDA ZA KULEA WAMAREKANI...........YAANI NI SAWA NA SHERIA YA NDOA KUWA UKIKUBALI KUOLEWA BASI UKUBALI KULALA BILA NGUO NA SASA IKO KWETU
hiyo sheria ya mwaka gani?na kama ya kidini ipo kwenye Qur'an au biblia???
 
Hili la kuwaachia uwanja wetu wa umiliki limekaaje. Hapa siliafiki kabisa.
 
Dar es Salaam - Juni 29, 2013

Wakati magari 150 ya msafara wa ziara ya Rais Barack Obama yamewasili
nchini, majina ya mawaziri wa Tanzania yatakayoruhusiwa kumpokea
kiongozi huyo kuchujwa na makachero wa FBI.

Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Moses Malaki
aliliambia gazeti hili jana kuwa matayarisho ya ujio wa Rais huyo ni
kabambe na hayajawahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Pia alisema shughuli za kumpokea Rais Obama, anayetarajiwa kutua
Jumatatu saa 8:40 mchana, zitaanza asubuhi kwa maofisa wa Marekani
kushika majukumu yote katika uwanja huo, ikiwemo kuongoza ndege, ukaguzi
wa abiria na mizigo, kwa maana wafanyakazi wa uwanja huo kuwa likizo
kwa siku mbili.

“Wamesema kuwa wao watasimamia kila kitu kuanzia wageni watakaoingia na
kutoka na wataamua nani aingie na kutoka,” alisema Malaki. Imebainika
kuwa hata idadi ya maofisa wa Tanzania wakiwemo viongozi watakaompokea
pia itapangwa na Wamarekani wenyewe.

“Wenyewe wana orodha yao na wanajua nani atakuwepo au hatakiwi kuwepo
katika kundi la wageni watakaompokea Rais Obama,” alisema na kuongeza:

“Nilimuuliza Ofisa Usalama wa Marekani iwapo nitaweza kumwona Rais
Obama, akaniambia: Utamwona ukibahatika kuwepo kwenye orodha.”

Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe naye alikiri kuwa mawaziri
wanaotakiwa kuwepo katika msafara wa kumpokea Rais Obama ni wachache
watakaochaguliwa tu na Wamarekani, baada ya kuyapitia na kuyachunguza
majina hayo kwanza kabla ya kuyakubali.

“Hii sijawahi kuiona, hata sisi wenyewe tunateuliwa na wakishayapitia
wataamua, nani aende au asiende,” alisema Chikawe.
Wana Jf hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kushabikia kushikana miköno. Waandish wetu wa-set agenda ya kuisaidia taifa letu. Pia wana Jf twaweza pia kuanzisha threads za jinsi gani ziara ya bw obama italinufaish taifa letu. Nawasilisha.
 
Hamna FBI hapo hao ni US Secret Service or US Diplomatic Security Service aka DS or DSS.......
FBI kazi yao ni kama kazi za CID huku kwetu na Most of them ni CIA in Diplomatic Cover(hidden in plain site).....
kwa hiyo acheni kufuka......

sawa ila ulinzi si utakua kwa wamarekani au???
 
Hivi kwa nini Zanzibar haipo kwenye ratiba ya Obama wakati ni sehemu ya Jamhuri?

Je huu sii ubaguzi??

Zanzibar ni nchi (rejea mabadilko ya katiba 2010) hivo wanaweza kumualika kwa wakati wao au wakamualika mfalme wa Oman. saudia Kuwait n.k!
 
Mkurugenzi wetu wa TISS na Ramadhan Ighondu wake nao kwisha habari yao!

akina ighondu wamesomea kutoa kucha,meno,vpigo bila ganzi! Kuhusu ulinzi ni zero!! FBI wanataarifa zao
 
dar es salaam - juni 29, 2013

wakati magari 150 ya msafara wa ziara ya rais barack obama yamewasili nchini, majina ya mawaziri wa tanzania yatakayoruhusiwa kumpokea kiongozi huyo kuchujwa na makachero wa fbi.

Mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa mwalimu julius nyerere, moses malaki aliliambia gazeti hili jana kuwa matayarisho ya ujio wa rais huyo ni kabambe na hayajawahi kutokea katika historia ya tanzania.

Pia alisema shughuli za kumpokea rais obama, anayetarajiwa kutua jumatatu saa 8:40 mchana, zitaanza asubuhi kwa maofisa wa marekani kushika majukumu yote katika uwanja huo, ikiwemo kuongoza ndege, ukaguzi wa abiria na mizigo, kwa maana wafanyakazi wa uwanja huo kuwa likizo kwa siku mbili.

“wamesema kuwa wao watasimamia kila kitu kuanzia wageni watakaoingia na kutoka na wataamua nani aingie na kutoka,” alisema malaki. Imebainika kuwa hata idadi ya maofisa wa tanzania wakiwemo viongozi watakaompokea pia itapangwa na wamarekani wenyewe.

“wenyewe wana orodha yao na wanajua nani atakuwepo au hatakiwi kuwepo katika kundi la wageni watakaompokea rais obama,” alisema na kuongeza:

“nilimuuliza ofisa usalama wa marekani iwapo nitaweza kumwona rais obama, akaniambia: Utamwona ukibahatika kuwepo kwenye orodha.”

waziri wa sheria na katiba, mathias chikawe naye alikiri kuwa mawaziri wanaotakiwa kuwepo katika msafara wa kumpokea rais obama ni wachache watakaochaguliwa tu na wamarekani, baada ya kuyapitia na kuyachunguza majina hayo kwanza kabla ya kuyakubali.

“hii sijawahi kuiona, hata sisi wenyewe tunateuliwa na wakishayapitia wataamua, nani aende au asiende,” alisema chikawe.
ukiskia kitu changanya na akili zako haijawahi kutokea na haitakaa itokee mgen kupanga wenjeji apo kina membe wanataka walete siasa zao za kipuuz...huyo wa airport ni sawa na mesenger ajui ktu knachofanyka nchi mwenyeji inatoa list ya itfaki yao itakavyokua na idadi dn wanakabdhi kwa maafsa wa ubalozi/security mfano mama clinton alkuja akapokelewa na lowasa na kukagua mitambo ya agreco/symbion akna sta na membe na makamanda feki wa ufsadi kna mwakyembe na kilango kuwa ni kampuni feki mama clinton akafka wakapanga msafara kumpungia lowasa na mama clinton ndvyo itakavyokuwa pia obama akfka lowasa atakua front ,jk, na obama..wazr wa mambo ya nje itfaki yake inaishia airport...tutaskia mengi sana mpaka obama aondoke..kwa taarfa za ndani ualiko wa obama uliratbiwa na lowasa kwa asilimia 90% kwa sababu obama alkua aende botswana,south afrca na senegal
 
ukiskia kitu changanya na akili zako haijawahi kutokea na haitakaa itokee mgen kupanga wenjeji apo kina membe wanataka walete siasa zao za kipuuz...huyo wa airport ni sawa na mesenger ajui ktu knachofanyka nchi mwenyeji inatoa list ya itfaki yao itakavyokua na idadi dn wanakabdhi kwa maafsa wa ubalozi/security mfano mama clinton alkuja akapokelewa na lowasa na kukagua mitambo ya agreco/symbion akna sta na membe na makamanda feki wa ufsadi kna mwakyembe na kilango Waliopga debe nchi nzma na kna selelii na lembeli waksema kuwa ni kampuni feki mama clinton akafka wakapanga msafara kumpungia lowasa na mama clinton ndvyo itakavyokuwa pia obama akfka lowasa atakua front ,jk, na obama..wazr wa mambo ya nje itfaki yake inaishia airport...tutaskia mengi sana mpaka obama aondoke..kwa taarfa za ndani ualiko wa obama uliratbiwa na lowasa kwa asilimia 90% kwa sababu obama alkua aende botswana,south afrca na senegal wajanja wakaloby botwsana ikapgwa chin
 
apo wanataka watudanganye kuna vgezo vya kumpokea huo ni uongo mweupe rais wa chna alkuja adi rdhwan na kna davis mosha walimpokea inamaana alptia jina la mosha na rdhwan....mosha na rzwan walkuwa kwenye msafara wa jk kwenda kumpongeza kenyata mnataka kusema kenya waliptia majina ya rtz na davs mosha alyekua yanga walchujwa tufkr kwa kutumia akili tusfkrie na kuandka matapshi
 
Back
Top Bottom