Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 409
Ujio wa Rais Obama nchini kwa watu wenye uelewa mdogo ni sifa lakini kwa GT ni aibu kubwa sana.
Haiweaekani mgeni umkaribishe kwako halafu nyumbani kwako awe ndiye mwenye maamuzi ya juu.
Ujio wa Obama ni aibu kwa Tz kwani haiwezekani kila kitu kinafanywa na ziara ya rais
-mapokezi
-usalama wa taifa.
-usafiri nk
Hii sio sifa bali ni aibu kuwa Tz si lolote si chochote!!