FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

The Civic United Front has expressed dismay over what it alleges as kidnap, attack and torture of its director for parliamentary affairs and election, Mr Sheweji Mketo, and five other senior party officials in Mtwara by people suspected to be officers of the Tanzania People's Defence Forces.

The six party officials were said to have been kidnapped on Wednesday as they were heading to Mtwara town from Msimbati Village to collect evidence over a sodomy incident linking security officials in the region, according to the party chairman, Prof Ibrahim Lipumba.
 
Pamoja na kwamba huu ni udhalilishaji uliopitiliza, ila tunayataka wenyewe. Kama tunaendekeza kuwa na akili za kushikiwa kama wanasesere, watufanyeje?

In short, tunavuna matunda ya ushenzi wetu!
 
kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo, ni kuwa viongozi wakiwemo mawaziri na wabunge wataokutana na Obama watachaguliwa na wamarekani wenyewe kwa kutumia vigezo vyao , bila shaka watu wenye sifa katika kukuza demokrasia na wasio mafisadi. kwa kuwa kuna ushahidi wa wazi kuwa mwigulu na wenzake hapo juu ni waratibu wa vikundi vya kutesa watu, kubambikizia wengine kesi za uongo, na kulitumia jeshi la polisi vibaya ni vema hawa watu wasiruhusiwe kabisa kushiriki hiyo ziara, hili litakuwa funzo kwa madikteta wengine
Hilo la ufisadi pia ni kweli.Nimemsikia leo wakati akiwa kwenye press conference yeye na Zuma huko SA.Obama alisema tatizo kubwa tulilonalo ni ufisadi.Alisema ufisadi pamoja na unequal trade ndivyo vimeibakiza Africa nyuma.Alitolea mifano ya rasilimali kuchotwa na kuwaacha waafrika masikini,na akasema hata hicho kinachopatikana,viongozi wanafisadi.Hapo ni akijibu swali kuhusu mataifa yanayowekeza Afrika ie China na wengineo
 
Safi kabisa. Obama anajua ukubwa usio wa maana wa baraza la mawaziri sasa wote wakiwepo na kushikana mikono na mlolongo wa watu zaidi ya 60 wakiwepo wale ma MC wa CCM Nape na Mwigulu si atachoka? watu asikini mawaziri kibao! Mawaziri 16 tu walikuwa wanatosha kwa nchi hii. Sasa wizara zinaundwa hata zisizokuwa na maana ili kupeana ulaji. Sasa wizara ya afrika mashariki, wizara ya waziri asiyekuwa na kazi maalum, jamii wanawake na watoto za nini kama sio za kupeana na kuzibana midomo. Wengine wakae nyumbani kama sisi tena wasionekane mjini kabisa!
 
Najiuliza hapa hivi kwani si atakaribishwa ikulu magogoni? Je na ikulu nako wameikabidhi fbi kukagua ulinzi? Maana nilisikia masuala ya usalama ni juu yao.
 
pinda alikatwa jina lake kutokana na sura yake kutokaa kimaadili ndipo baba ri ikabidi amtume zoka msasani kwenda kumbembeleza balozi alfonso kishingo upande akakubali kwaio pinda atakua mojawao ila lameck nchemba awezi kupata hiyo nafasi.
 
Hawa fbi wasengerema sana yani wanafukuza wafanyakazi wa airport kwa siku 2 na jeikei karuhusu? This is the ish the country is totally serukamba up.
Kwa kifupi marekani wana take over everything kwa kipindi atakachokuwepo hapo.Umesahau kichaka alipokuja hadi ikulu ilikuwa chini ya ulinzi wa marekani wewe unazungumzia airport?
 
Hivi kwa nini Zanzibar haipo kwenye ratiba ya Obama wakati ni sehemu ya Jamhuri?

Je huu sii ubaguzi??
Mbona Mwanza, kigoma na mikoa mingine aipo katika ratiba. Zanzibar si inchi, kuna waroho wa madaraka ambao kwa makusudi awataki tanzania moja.
 
Nchi ilishauzwa zamani ila anakuja kuoneshwa mipaka. mi sijui niende somalia au syria? kwani hii nchi si yangu tena. Mpaka autonomy hatuna la!
 
Nasubiri bbc jumatatu hapa UK niskie habari ya obama tz maana kweli this is sad... Eti wanachagua watu wakenda kumpokea tena sio sisi watanzania ni wao... Kweli hii kali ya mwaka.
 
Viongozi wengi mno kuliko mahitaji. Akianza kushikana nao wote atakesha uwanjani
 
Dharau kubwa sana. Kikwete na maafisa wake hawana mshipa wa aibu. Nina uhakika 100% kuna mambo ya siri yanakuja kuongelewa ndio mana wanachagua watu wa kuwepo arround msafara ili hata siri ya kitakachoongelewa kisisambae na kikisambaa sio complete info. Mtu mzito kama Obama hawezi toka US na kuja Tanzania just kutembea without gains.. Wasting billions of US citizens taxes. Those guys are very strategic.

In other hand. Inamaanisha US wanaijua intelligence system ya Tanzania yote. Wameona udhaifu mkubwa ndo mana watashikilia kila kitu. Wana haki. Huwezi kumkaribisha mtu kama Obama wakati unajua huwezi kumlinda. Lazima wakuzingue na kukuaibisha.

Poleni watanzania wenzangu wanaoumia kwa hili wanalotufanyia hawa mabeberu.
 
masikini pinda , kama kigezo ni demokrasia na haki za binadamu kwa kauli ya wapige tu, sio kwamba hatakiwi kuwa uwnja wandege kumpokea obama , bali ingefaa awe nje ya nchi
 
Tanzania si salama tena, tanzania si kisiwa cha amani kama viongozi wetu wanavyoinadi,

mambo gani haya maandalizi yaliyofanywa hadi hivi sasa ni kama obama anakuja somalia.
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Duh! Kweli USA noma sana aisee ! kwa hiyo CHAGONJA atakuwa hana kazi kwa siku ngapi ?
 
Back
Top Bottom