mnali conceive tofauti sana,tena siju ni kwa maslahi ya nani na kwa faida zipi,,,hilo lisiwape shida.obama anakuja kuonana na mkuu wetu wa kaya...hao wengine ni nyongeza...hata hivvyo wale wachache watakaopata nafasi hiyo watatuwakilisha
Aibu! We vipi.. Ni ugeni mkubwa...
Huu ni upumbavu wa hali ya juu na unazidi kuthibitisha ni jinsi gani Waafrika tulivyo duni.
Kuja kwetu aje yeye na wageni wa kumlaki achague yeye?
Ndiyo maana tulichukuliwa kama mitumwa na kutawaliwa kama mizuzu.
Upuuzi wa wapi huu?
Nenda rwanda mtu mwenye busara huchukua hatua siyo kuishia kulalamika tu.Inakera sana na naona aibu kuwa Mtanzania!
Umemuelewa vizuri mtoa mada lakini?Aibu! We vipi.. Ni ugeni mkubwa...
Mkuu andiko lako linaonekana wewe ni mdau wa haya maswala kila la kheri.Mmmmh!
Hv mkuu wa kaya akiambiwa
a-sign mkataba wa ushoga atachomoa?
Eti hatutaki ushoga!
Thubutuuuu!
Hakuna unachojua utabaki kusema hivyohivyo kamwe siri yake hutaijua na huta kuja kujua chezea serikali.
wewe unadhani taifa linaongozwa kama bavicha wewe kaa ndani ule mandazi na vitumbua tu mengine hasa ya usalama wa nchi wachie wanaume wanaojua thamani ya tanzania.
Umemuelewa vizuri mtoa mada lakini?
Kama sio GT utapinga tu...wewe mgeni unamkaribisha kwako halafu anakuwa ndio mwenye maamuzi ya familia yako,kama sio aibu ni nini?
Nenda rwanda mtu mwenye busara huchukua hatua siyo kuishia kulalamika tu.
Sasa mbona unatukana viongozi wako wa cdm.Watakuja wenyewe hapa kutoka LUMUMBA Project wata ku-prove wrong. Mie naungana mkono na wewe. Wanajivuna eti ni wana diplomasia iliyokubuhu. Siamini hayo turudi kwenye msingi aliouweka Marehemu Baba wa Taifa, wenye akili ndogo watatoka hapa wakiruka ruka kama mazuzu.
Kama tumejikabidhi wenyewe utumwani unategemea nini ndugu yangu, tusubirie tu tutasikia mengi. Bush alituachia net anachukua raslimali nadhani huyu atatuletea blanketi, godoro na kitanda ilitulale usingizi wa uhakika wakati raslimali zinahama.
Hao hawaaminiki! Wakati wowote uamsho wanaweza kujilipua!!Hivi kwa nini Zanzibar haipo kwenye ratiba ya Obama wakati ni sehemu ya Jamhuri?
Je huu sii ubaguzi??
100% Amekurupuka ... anataka tu mtreat obama kama mjomba wake au babu yake akija kumtembelea
so kipimo cha GT ni kukubaliana na upuuzi wowote unaoletwa humu..?