Hivi kwa nini Zanzibar haipo kwenye ratiba ya Obama wakati ni sehemu ya Jamhuri?
Je huu sii ubaguzi??
JK lazima awepo, huyo ndo mpiga deal anayemuuza mrembo wetu Tanzania kwa bei chee..!Kikwete,
wassira,nape,makamba sinior na jr,and soforth.
Hivi kwa nini Zanzibar haipo kwenye ratiba ya Obama wakati ni sehemu ya Jamhuri?
Je huu sii ubaguzi??
Angekuwa Nyerere asingekubali huu upuuzi hata kidogo.Achakua mtumwa mTZ mwenzangu, hata mimi ninge kua nina cheo cha waziri mkuu ninge goma kwenda kumpokea huyo SHETANI. Kwanza wanaendelea kumuona mwafrica si chochote, kutaka kukabidhiwa mamlaka ya uwanja wa ndege yani wenyewe wawe ndio wasimamizi wa kuu wa shughuli zote ziendeleazo hapo uwanjani ni kuthibitisha kwamba sisi hatuna ulinzi ulio kamilika. Kama hatuwezi kujilinda maanayake jeshi letu ni dhaifu, sasa haya sio matusi? Nachukia sana mtu asie tambua thamani yake.
Kweli bado hatujapata uhuru
Angekuwa Nyerere asingekubali huu upuuzi hata kidogo.
Hivi kwa nini Zanzibar haipo kwenye ratiba ya Obama wakati ni sehemu ya Jamhuri?
Je huu sii ubaguzi??
Halafu wakati mwingine muwe mnafikiri SURA ZA WATU WENGINE ZINATIIIISHAAA!!! Hivyo sidhani kama FBI watakubali Obama alale anaota majinamizi!!!!!!