Thubutu kufanya hivyo kwingine. Senegal walimpinga kuhusu ushoga. South Africa wanakaa na wazungu kwa hiyo hawana sababu ya kubabaika. They are always brushing shoulders with them in offices and in the streets. Kwa hiyo hakuna jipya kwa wazungu hata wazuzuke.Hii nchi ina viongozi mbumbumbu kweli kwel yaani kwa sababu Obama anakuja ndiyo aachiwe mamlaka ya nchi yote namna hiyo kwani huko nchi nyengine alifanya ujinga huo na kukubaliwa kuchukua mamlaka ya nchi kwa sababu tu yeye amekuja, kuna haja gani bora asingekuja kuliko kuidhalilisha nchi namna hiyo.,,
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums