Fatuma Karume aambiwe sheria za Asili(za Mungu) hazipitwi na wakati

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
17,246
2,000
kama umenielewa nilichokisema hiyo yote ni matendo yenye viashiria vya ushoga ndio maana nimesema sisi watanzania ni wanafiki kwa kushangilia hayo matendo huku tukipinga ushoga
suala la asili ni utashi tu wa kibinadamu kwani nani kasema lazima ulale usiku na mchana ufanye kazi

Hiyo nani kasema ndio hiyo unayoambiwa mambo ya asili.
 
winston20

JF-Expert Member
Jun 21, 2020
236
500
kama umenielewa nilichokisema hiyo yote ni matendo yenye viashiria vya ushoga ndio maana nimesema sisi watanzania ni wanafiki kwa kushangilia hayo matendo huku tukipinga ushoga
suala la asili ni utashi tu wa kibinadamu kwani nani kasema lazima ulale usiku na mchana ufanye kazi
Mzee mbn unapenda kujumuisha watu ...?
Eti Watanzania ni wanafiki,hivi ulipita kwa kila Mtanzania mmoja mmoja ukauona huo unafiki??
Kwanini usijitaje mwenyewe kwamba ni mnafiki?....unatetea upuuzi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom