Fatuma Karume aambiwe sheria za Asili (za Mungu) hazipitwi na wakati

Unaweza nambia shoga Kwa kilugha chenu anaitwaje??

Kama hujui nafikiri utajua kuwa kabla ya Mzungu kuja hapakuwa na ushoga hapa Afrika.

Yesu alifuata sheria za Asili,
Yesu kusema hivyo hayo ni maoni yake hatabadilishi hata kifungu kimoja cha sheria za Asili.

Lazima ujue kutofautisha sheria na Mafunzo, na maoni
Kufirana kumekuwepo Tanganyika na Zanzibar miaka mingi, watu wamefanya hivyo wakiwa maporini, na sehemu mbalimbali ila kwa kujificha sana. Wako wengi, hata nje ya Tanzania mfano Mfalme Shaka Zulu alikuwa anajisitiri na wanaume wenzake. HAYA MAMBO MWACHIENI MUNGU TU AHUKUMU.

NINAVYOMJUA YESU KRISTO, USIJE KUSHANGAA SIKU YA HUKUMU UKAONA ALIYEKUWA SHOGA HAPA DUNIANI ANAENDA PEPONI. INATEGEMEA HUYO SHOGA AMEKUWA NA IMANI GANI NA MUNGU WAKE.

Yaonekana uwezo wako ni mdogo sana. Eti "maoni yake". Hujui kuwa Yesu Kristo ndiye atakayeuhukumu ulimwengu?
 
Mimi nadhani muhimu kulinda watoto na wanawake wanabakwa au kuingiliwa kinyume na maumbile bila ridhaa yao.

Ila kukaa kukaza shingo, unalingana na kitu amnacho hakina athari kwenye maisha yako ni kupoteza energy bure.

Jitu zima na akili zake timami limeamua kupelekewa moto.

Halifanyii kitandani kwako, chumbani kwako wala halikuombi pesa.

Unaumia nini wewe ???

Hakuna anayeumia tunachojua ni kuwa ukishindwa kuzuia moja ya jirani yako huwezi zuia 10 itakayotokea kwako.

Suala hili ni mpaka uwe na akili ya kuona miaka 100 ijayo ndio utaelewa lakini hivi hivi huwezi.

Ni Kama suala la Haki Sawa baina ya mwanamke na Mwanaume
 
Hivi unajua yaliyotokea Sodoma na Ghomora??

Unazungumzia miaka mia ijayo ?

Wakati yaliyopo sasa hivi hayajafika hata robo ya yaliyokuwepo miaka 2,000 iliyopita.

Kuna jipya gani ???

Na suala la haki baina ya mwanamke na mwanamume lina tatizo gani, au ni ubinafsi tu umewajaa.

Mama yako au dada yako wakiwa treated sawa wewe utapinga ???
 
Kufirana kumekuwepo Tanganyika na Zanzibar miaka mingi, watu wamefanya hivyo wakiwa maporini, na sehemu mbalimbali ila kwa kujificha sana. Wako wengi, hata nje ya Tanzania mfano Mfalme Shaka Zulu alikuwa anajisitiri na wanaume wenzake. HAYA MAMBO MWACHIENI MUNGU TU AHUKUMU.

NINAVYOMJUA YESU KRISTO, USIJE KUSHANGAA SIKU YA HUKUMU UKAONA ALIYEKUWA SHOGA HAPA DUNIANI ANAENDA PEPONI. INATEGEMEA HUYO SHOGA AMEKUWA NA IMANI GANI NA MUNGU WAKE.

Yaonekana uwezo wako ni mdogo sana. Eti "maoni yake". Hujui kuwa Yesu Kristo ndiye atakayeuhukumu ulimwengu?

Naona unatoa maelezo ambayo sijakuuliza.
Wewe si unakabila lako?
Niambie shoga au ushoga Kwa kilugha chako anatamkwaje? Au kufirana Kwa kilugha chako inatamkwaje??

Kama msamaiti huo hamjautohoa.

Kwani hakimu au Jaji anapohukumu anahukumi Kwa sheria zake au sheria za nchi??

Yesu kupewa kuhukumu haimaanishi yeye ndio the top.

Kama umeona Mimi ninaakili za kitoto sasa unapaswa uonyeshe zako za kiutu uzima kabla sijakuweka kundi ambalo watu wataniona nimekudharau
 
Hivi unajua yaliyotokea Sodoma na Ghomora??

Unazungumzia miaka mia ijayo ?

Wakati yaliyopo sasa hivi hayajafika hata robo ya yaliyokuwepo miaka 2,000 iliyopita.

Kuna jipya gani ???

Ndio maana zipo SHERIA.

Serikali ndio unaowajibu wa kuhakikisha jamii inakuwa na maadili.
Ukishapata viongozi wenye mtazamo Kama Fatuma Karume jamii yote lazima iharibike.

Huwezi dili na watoto wako Kuwatunza kwenye jamii inayokaribia Kuruhusu maovu.

Sijui Kama unajua maana ya Serikali
 
DINI: Kuhusu ushoga, Yesu Kristo angelikujibu hivi "Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe."

MILA NA DESTURI: Lakini pia mtazamo wa kitamaduni, Tanzania tumekuwa na mashoga hata kabla ya wazungu ama waarabu kuja, tunaishi nao, wengi wamekuwa wakijificha, na wengi hulazimika kuoa ili kuificha jamii uhalisia wao.

PIA KUNA WATU WENGI TU, Huwaingilia wake zao kinyume na maumbile.

MWACHENI MUNGU MWENYEWE AHUKUMU.
Huo utafiti umeufanyia kwenye ndoa zipi, mbona mi simwingilii Mke wangu nyuma ya kimaumbile?

Acha kutujumuisha kwenye upuuzi wako.
 
Ndio maana zipo SHERIA.
Sheria zinatungwa na nani ?
Serikali ndio unaowajibu wa kuhakikisha jamii inakuwa na maadili.
Serikali ni nini na inaundwaje ?
Ukishapata viongozi wenye mtazamo Kama Fatuma Karume jamii yote lazima iharibike.
Kwahiyo Fatma Karume siyo.sehemu ya jamii wala serikali ?
Huwezi dili na watoto wako Kuwatunza kwenye jamii inayokaribia Kuruhusu maovu.
Maovu ni nini ?
Sijui Kama unajua maana ya Serikali
Hivi unajua kufikiri sawa sawa kweli ??
 
Kufirana kumekuwepo Tanganyika na Zanzibar miaka mingi, watu wamefanya hivyo wakiwa maporini, na sehemu mbalimbali ila kwa kujificha sana. Wako wengi, hata nje ya Tanzania mfano Mfalme Shaka Zulu alikuwa anajisitiri na wanaume wenzake. HAYA MAMBO MWACHIENI MUNGU TU AHUKUMU.

NINAVYOMJUA YESU KRISTO, USIJE KUSHANGAA SIKU YA HUKUMU UKAONA ALIYEKUWA SHOGA HAPA DUNIANI ANAENDA PEPONI. INATEGEMEA HUYO SHOGA AMEKUWA NA IMANI GANI NA MUNGU WAKE.

Yaonekana uwezo wako ni mdogo sana. Eti "maoni yake". Hujui kuwa Yesu Kristo ndiye atakayeuhukumu ulimwengu?
Atauhukumu lakini amekuruhusu kuuukataza upumbavu kama huo siyo kuuacha acha tu ufanyike kipuuzi.

2TIMOTHEO 3:16.

"Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki"
 
nasikia kuingikiwa mara kwa mara kwenye kinyeo kunaweza sababisha anus leaking na kuna tafiti zinaonesha warume wanaoingiliwa kwenye vinyeo huwa hawafikishi miaka 40 duniani tena wengine wanajidhurumu haki ya kuishi
 
Imani yangu ni kulinda jamii yangu na wahuni wanaotaka kuiharibu.

Unajipa kazi nzito sana mkuu, " kuilinda jamii dhidi ya wahuni" sio jambo dogo, na ukifanikiwa hakutakua na haja ya mahakama wala vyombo vya kusimamia haki na kuadhibu wanaovunja haki na sheria.

Nafikiri unachoweza kufanya ni kuelimisha, hayo mengine waachie wao waamue.
 
Moto anapelekewa Hamza, wewe Saidi unaumia vipi?

Waacheni watu wafanye kile wakipendacho wakiwa faragha, tatizo letu watz ni unafiki uliopindukia.

Nikikuuliza hapa mtoa mada kuwa mtaani kwako hakuna gays na lesbians?

Je umechukua hatua gani kama wapo? Je hujui kuwa kuna watu wanazaliwa kwenye hiyo hali?

Je nao tuwachome moto na kuwateketeza kwa ulemevu wao wa kuzaliwa nao?

Shukuru muumba wako kwakuwa umezaliwa ukiwa mtimilifu.

Ushoga wa jirani yako usikuumize kichwa, mwache apelekewe moto as much as he like.

Na wewe kama waona wivu, tafuta mtu akupelekee moto au tafuta mtu mpelekee moto.

Sent from my LM-K500 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Hamza huyo huyo akiamua Kujiua kwanini iwe kosa la jinai?

Moto anapelekewa Hamza, wewe Saidi unaumia vipi?

Waacheni watu wafanye kile wakipendacho wakiwa faragha, tatizo letu watz ni unafiki uliopindukia.

Nikikuuliza hapa mtoa mada kuwa mtaani kwako hakuna gays na lesbians?

Je umechukua hatua gani kama wapo? Je hujui kuwa kuna watu wanazaliwa kwenye hiyo hali?

Je nao tuwachome moto na kuwateketeza kwa ulemevu wao wa kuzaliwa nao?

Shukuru muumba wako kwakuwa umezaliwa ukiwa mtimilifu.

Ushoga wa jirani yako usikuumize kichwa, mwache apelekewe moto as much as he like.

Na wewe kama waona wivu, tafuta mtu akupelekee moto au tafuta mtu mpelekee moto.

Sent from my LM-K500 using JamiiForums mobile app
 
Atauhukumu lakini amekuruhusu kuuukataza upumbavu kama huo siyo kuuacha acha tu ufanyike kipuuzi.

2TIMOTHEO 3:16.

"Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki"
Wewe una haki ipi ya kuhukumu na kufundisha wengine, ili hali umejaa maovu. mwache shoga mwenyewe awe na mawasiliano na Mungu wake. Ukisoma hii kisha uniambie wewe unaangukia wapi.

1 Wakorintho 6: 9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Unajipa kazi nzito sana mkuu, " kuilinda jamii dhidi ya wahuni" sio jambo dogo, na ukifanikiwa hakutakua na haja ya mahakama wala vyombo vya kusimamia haki na kuadhibu wanaovunja haki na sheria.

Nafikiri unachoweza kufanya ni kuelimisha, hayo mengine waachie wao waamue.

Kutoa elimu pia ni sehemu ya kulinda na kujenga jamii Mkuu so nipo Kazini
 
Wewe una haki ipi ya kuhukumu na kufundisha wengine, ili hali umejaa maovu. mwache shoga mwenyewe awe na mawasiliano na Mungu wake. Ukisoma hii kisha uniambie wewe unaangukia wapi.

1 Wakorintho 6: 9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Kama umemuona kwenye kundi lolote hapo Kati ya yaliyotajwa unayohaki kunionya.

By the way ni kawaida ya wapuuzi na wapumbavu kutumia Aya ya kuhukumu,

Jukumu langu ni kuonya na kujenga jamii wewe endelea na jukumu lako ikiwa litakuwa tofauti na langu.
 
Moto anapelekewa Hamza, wewe Saidi unaumia vipi?

Waacheni watu wafanye kile wakipendacho wakiwa faragha, tatizo letu watz ni unafiki uliopindukia.

Nikikuuliza hapa mtoa mada kuwa mtaani kwako hakuna gays na lesbians?

Je umechukua hatua gani kama wapo? Je hujui kuwa kuna watu wanazaliwa kwenye hiyo hali?

Je nao tuwachome moto na kuwateketeza kwa ulemevu wao wa kuzaliwa nao?

Shukuru muumba wako kwakuwa umezaliwa ukiwa mtimilifu.

Ushoga wa jirani yako usikuumize kichwa, mwache apelekewe moto as much as he like.

Na wewe kama waona wivu, tafuta mtu akupelekee moto au tafuta mtu mpelekee moto.

Sent from my LM-K500 using JamiiForums mobile app

Kama jukumu lako hapa Duniani ni kutetea ushoga na wenye dhambi
Mimi jukumu langu sio hilo, langu ni kupinga na kuonya watu na maovu Kama hayo.

Hivyo kila mmoja yupo kazini,
Wewe fanya sehemu yako
NAMI nafanya sehemu yangu,

Ndio majukumu yenyewe hayo

Siwakemei mashoga pekee Bali nimeshaondoka Makala nyingi tuu zinazokemea maovu mengine hivyo Kama wewe umeona hili la ushoga limekuuma Kwa vile labda linakuhusu ni juu yako.
 
Back
Top Bottom