Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,124
- 94,400
ila humo ndani tutapewa hata bublish kweli?
msosi unauzwa lakini kama ukiona huna hela fungasha furu, magimbi na mbatata toka home inaruhusiwa...
ila humo ndani tutapewa hata bublish kweli?
mmmh mi nitabeba mayai ya kuchemshamsosi unauzwa lakini kama ukiona huna hela fungasha furu, magimbi na mbatata toka home inaruhusiwa...
Jamani naomben ukweli katika hii nami nipande ndege kidigo nitie baraka maisha yangu npo mwanza familia ipo dar
ila humo ndani tutapewa hata bublish kweli?
ndege kama hizo niliziona ata malaysia,ukisafiri malaysia kwenda china,singapore,thailand etc nauli ya ndege ni cheap sana lakin haupewi msosi,pia ukiwa na mizogo ndio unachagiwa zaidi,wanasema uwingi wa mizigo kwenye ndege unakula mafuta,lakin ukiwa hauna mizogo unapeta,wenzetu asia umeanza siku nyingi
ni kweli hata hapo kongo zipo sikunyingi tu...hadi mbuzi unambeba ukitaka...
Yeah, nimeona hapa:FastJet Tanzania to Kenya route (Condé Nast Traveller)
vp mkuu na route ya mwanza - dar?
mkuu hebu pitia vizuri hizo bei ,maana ata bus luxury sio hio bei
Hii ni kampuni mpya inayoanza safari za ndege, nauli ni bila VAT.
Kwa Dar office zipo mitaa ya Samora opp Wizara ya Nishati na madini karibu na Steers.
ni bei ya kweli.hiyo kampuni ni kampuni mpya ya bei rahisi ili atakaye shindwa kupanda ndege asilalamikemkuu hebu pitia vizuri hizo bei ,maana ata bus luxury sio hio bei
Ndio utajua kwamba hiki tunachoita inflation ni fake, kuna watu wanafaidika nacho, enjoy the economical price.
Hata ukili mihogo na nguluka... si mlo pia au...?!!!Hizo ndio ndege ambazo wanasema ni za bei rahisi
Sasa nnahisi kabisa kuwa humu ndani badala ya kupewa sandwich tutakuwa tunapewa UBUYU
msosi unauzwa lakini kama ukiona huna hela fungasha furu, magimbi na mbatata toka home inaruhusiwa...