salvatory19
Member
- Sep 9, 2011
- 13
- 3
sandwich ndio nini? Wajamen nataka na mimi nipande ndege. Juchupresenter
Nilikuwa nasikiliza afisa wao clouds fm asubuhi, anasema chakula ndani ya ndege ni cha kulipia ila unaruhusiwa kuingia na chakula chako ambacho hakitawaudhi abiria wenzanako. Mizigo nayo itakuwa inalipiwa; kilo ishirini za mwanzo ni shilingi elfu nane na kila kilo inayozidi ni shilingi elfu nane.
Kodi za ndege hazipigwi kwa style hii kaka.
Habari ndo hiyo wakuu. Ukipiga na VAT ni kama 43,040 TZS one way. Return inakua 86,080/= TZS. Begi lako la kilo 20 litalipiwa 8,000/- na kila kilo inayozidi inapigwa sh 8,000/- TZS.
What more do you want jamani? Kama vipi unapanda na ugali wako.
Hamna mbwembwe za misosi wala vinywaji ndani. Unanunua kwa hela yako binafsi.
Simple
Hahahha marehemu Ebbo aliimba 'Makande ndani ya ndege' yametimia!! Bongo raha sana..Nilikuwa nasikiliza afisa wao clouds fm asubuhi, anasema chakula ndani ya ndege ni cha kulipia ila unaruhusiwa kuingia na chakula chako ambacho hakitawaudhi abiria wenzanako. Mizigo nayo itakuwa inalipiwa; kilo ishirini za mwanzo ni shilingi elfu nane na kila kilo inayozidi ni shilingi elfu nane.
mmmh mi nitabeba mayai ya kuchemsha