Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
ila mnawatamani wenye nywele bandia!!!
hapo mi ndo huwa nachoka kabisa
ila mnawatamani wenye nywele bandia!!!
Wasichana acheni kukaa na nywele miezi kibao bila kuosha. Uchumi ukikushinda si ukate!
Wakate za nini wakati mnawadanganya wanapendeza kwenye hizo nywele za wafu. Huku ni kujidhalilisha tu. Mbona wazungu na wahindi hawatamani nywele zetu? Colonial mentality.
Daaaah
mkuu
Pole sana aisee.
Hilo moja, la pili ni balaa.
Wacha nisiseme bhana
Aibu sana hawa masista du wanafoji sana mpaka kero.
Nywele zenyewe za maiti basi taaabu kweli kweli.
Hata hayo yananuka kama kwa mganga wa kienyeji lol! kuweni wasafi na natural smell bana!!
Wape wape eeeh vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri lao.
Wengine natural babu wee, khaaa. Halafu uzuri wa mafundisho yetu (Waislaam) uki "do" tu lazima ujitoharishe kwa kuosha nywele, wengine sie ndio sharti kwa ma-oud ya mawardi na ma-haltiti vilua na ma-asmini, kunuka kutoke wapi?
Leo nusura nitapike katika
daladala..,
Kama unavyojua tarehe hizi za katikati ya mwezi ni uhaba...,
Imenibidi nitumie usafiri wa umma...,
Tulikuwa tumeshonana alafu bidada ndio yuko usoni kwangu, balaa !
Nusura nitapike jinsi nywele za huyu mwanadada zilivyokuwa zinatoa
harufu mbaya..., kwanza nilifikri kuna mtu katoa hewa chafu..!
Loh! Safari nzima..., mpaka ninashuka!
Jamani jirekebisheni akina dada, hii siyo sawa!
em nyanyua kikwapa chako nikukague kwanza!!!!
Wenye masikio wamekusikia...wengi wanavutia kwa mbali...ukiwasogelea chafya.Lol
Hata wanaume wachafu wapo...unakuta mtu miguu inatoa harufu afu anavua soksi tena ugenini...
(Nime balance si ndio)
hahahaaa......! Kumbee lol!
baby yani tangu nikupate wewe sasahiv sipati harufu za ajabuJamani mpenzi unanivunja mbavu...Nini hujagusa...Hahaha!
KuFUKIZA UVUMBA, NI KUMTUKANA MUNGU!
Watu wanaongelea Oud wewe unaongelea uvumba. Wapi na wapi?
Bora mie na kipara changu!
Ndio hayo hayo, matakataka ya kwa waganga wa kienyeji!