Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,039
- 110,711
Hahahah hivi mtani huwa haitokei lile wigi kwa bahati mbaya limevuka kichwani?
Maana huwa naona wamama wanagombea daladala lakini lile kofia hata halichomoki...
Maana huwa naona wamama wanagombea daladala lakini lile kofia hata halichomoki...
hahhahahhahahhh kazi ilikuwepo kumbe huku!
duh!
sasa kuna ile habari ya mawigi!
MULE NDANI KUNAKUWA NA MABUTU SI MABUTU!TWENDE KILIONI SI TWENDE KILIONI!
YANI MRADI VURUGU!sasa swa asbuhi umependeza vizuuuuuri!
ila dawa ya mbu uliyosuka chin ya hilo wiki mapka mstari haunokeni mweeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
KHA!