Leo nusura nitapike katika daladala..,
Kama unavyojua tarehe hizi za katikati ya mwezi ni uhaba...,
Imenibidi nitumie usafiri wa umma...,
Tulikuwa tumeshonana alafu bidada ndio yuko usoni kwangu, balaa ! Nusura nitapike jinsi nywele za huyu mwanadada zilivyokuwa zinatoa harufu mbaya..., kwanza nilifikri kuna mtu katoa hewa chafu..!
Loh! Safari nzima..., mpaka ninashuka!
Jamani jirekebisheni akina dada, hii siyo sawa!
imenitoa tatzo afu c unajua tarehe zenyewe hizi ngoja ifkefike 25 25 hivi banaa!!!
Basi ununue air freshening balls za chooni uje nikufunge shingoni kama mkufu!!!!
Ha!......tena mmenikumbusha...... Husninyo shouger.......hala hala na lace wig langu.....mwaka hurudishi.......thread imenivuruga hii......tafaadhali....
hahaaaaa
bora mie ctumii hzo nywele
ngoja waje wenyewe
Naunga mkono hoja. Kweli wanawake tunanuka nywele sijui wenye waume wanashare vipi kitanda! Nywele inabidi zioshwe walau mara moja kwa wiki jamani!
^^
Pole sana..sidhani kama watakuelewa
^^
ila ni kweli mkuu hata mimi huwa zinaniboa sana,wengi wa akinadada nywele zao za bandia hutoa harufu kali sana,mi mwenyewe karibia kila napokuwa karibu na wadada wenye minywele hiyo huwa naisikia harufu hiyo na huwa najitahidi sana kuwa mbali nao kwani huniletea kichefuchefu sana
...mkuu' tatizo awa dada zetu' hawajijui..! Pia kuna baadhi yao, hawapendi kuambiwa ukweli..., mara nyingi wanapenda kuambiwa maneno yakusifiwa! ...kuwa AMEPENZA (hata kama hajapendeza)
jitambueni... jamani dada zetu...,
I love my short hair,naamin naonekana mrembo zaid kuliko nikiweka hizo za bandia,japokua baadhi ya watu wanasema ni ushamba kuwa na nywele fup!!!
Ila bora ushamba wa kuepukana na harufu....gharama na muda wa kushinda saloon........!
Ha ha haaaaaaaaa viwigi, bonding,human hair, piece, fake braziliani kushoneaaaa na makolombwezo yyyyoteeeeee mupoooooooooooo!!!!!!!!!
Shurti kuunukisha mto hapo bedini!!!!!
Kila saa hani hag mi,mara ooonh nilale kifuani kwako??!!!!
Usiombe apigwe na mvua sasa!!!!!
Hebu fanyieni kazi hii.... kansa za mapafu zinasababishwa na mengi!!!!!!!
Salamu ziwafikie wafuatao
lara 1 vp mamii hand drier haifanyi kazi??????
Heaven on earth kama shampoo imekwisha pale kwa mama naonaga chupa ya tancho!!!!!
Christine Ibrahim salon mpaka home ni dakika ngapi???!!!!
mimi49 ukilitoa hilo wigi ukaoshe kwanza kabla ya kushonea jingine
Kongosho my dada hizo zako si majimoto hebu osha bana afterall zitatokea na mtindo mupyaaaa!!!!!!!