Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

kweli kabisaa wasichana wengi wananuka nywele.
hapo papuchi hujagusa

...na hile ukiichokoza...! Kama siyo safi! Utakoma mwenyewe...! Kama yai viza vile!
 
my kaka OLESAIDIMU mi najitahidig kutunza bana.......siwezi kukaa miezi

na hili joto la dalisalama hapana
 
Last edited by a moderator:
Mie kila siku nasema, kama hela ya kuunga ni bora nunua weave ya elfu kumi tu, shonea wiki moja, yapili unatoa na kutupa. Ukitaka kuweka tena unanunua jipya.

Sasa hii dhana ya orijino mara linasetiwa au halisetiwi, unakuta mtu kajibana kanunua weaving na anakaa nalo miaka, hawezi kulitupa. Na wakati mwingine anakaa nalo kichwani mwezi, ama halioshi kabisa au saloon anayoenda hawajui kuosha vizuri, matokeo yake uchafu unavimba, ukijumlisha na joto la Dar, ndio patamu hapo.

...kumbe kuna mengine mnakaanayo zaidi ya mwaka! Loh!

...lakini kama mtu hauna uwezo wa kuyatunza kwa nini uyanunue...?

...Bora charminglady na kipara chake..., African queen..!
 
Ha ha ha ha, mie napenda zaidi nywele zangu kuliko wigi. Japo huwa naweka once in a while, lakini nikiweka, natoa na kutupa. Nikitaka kuweka tena nanunua mpya. Hii kuosha na kuset, saloon wakikosea tu au ukinyeshewa ni hatari. Afu kitu kingine wigi zikikugusha zinawasha ngozi, ndio maana sizipendi.

..!bora!
Umeona eeeh!
 
Mnaonikoshaga nyie wa vipara ngoto ,acha tu.

...ha ha haa haaa...
Lakini wanapendeza sana, na hawana muda wa kupoteza kwenye vibanda vya kutengeneza nywele bandia...
 
Heaven on earth kubishana na wewe siwez ila ukweli ndo huo
 
...Na kilio changu kingine ni makwapa, makwapa machafu mpaka yanatoa unga unga? wanawake kuweni wasafi bwana!

...mkuu, umenena..., sasa niambie ndiyo unakwenda kwa 6x6..., bibie akifunua kwapa' utafikiri kafunua shimo la maji machafu...., kama utakuwa umeisha... Lazima itasinyaa...
 
Wangejua wanamume tunapenda natural hair sio hayo mabrazilian fake.

...mkuu' nikweli. Ila nasi wanaume tunachangia KWA KUWASIFIA! KUWA WAMEPENZA! watokapo kwenye vibanda vya kutengeneza haya madude..., hii inasababisha yaendelee kuvaliwa haya manywele bandia...
 
:A S 39::A S 39::A S 39:😛eep:😛eep:tena wanaoongoza kwa huo uchafu ni masista duu wasio na vifaa,ukimuona anajishaua shaua na maringo kibao,,,,,msogelee kichwani sasa utapiga chafya na kichefu chefu juu,sijui hao waume zao na mashosti hawawaambii au ni ujinga tu.

...mkuu' awa mara nyingi wanapigwaga HIT & RUN..., ukigeuka nyuma unakuwa jiwe...
 
mtu anasuka wig anakaa nalo miezi miwili saloon anaingia mara mbili kweli litaacha kunuka,kuna wengine harufu inakufikia kabla hujamsogelea ooooh ukimtazama kuanzia chini hadi juu hata hafananii na hiyo harufu inayomtoka:tape::tape:

...ha ha ha haaa...! Yawezekana hata vyup* hawafui.. wanarudia kuvaa mara mbili, x2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom