Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

Mim sizipendi hzo kabisa msichana ntakae taka kumuoa kama anatumia hzo ataziaacha tu..mbona kina Dada kama yule wa the mboni show wanapendeza kuliko wenye nywele ndefu..
 
kbm, hujamtendea haki muhusika, maana umemwacha bila kumwambia alivyo KERO kwa wengine kwa kutozingatia usafi wa nywele zake

...mkuu! kawaida dada zetu hapendi kuambiwa ukweli, kila wakati wao wanapenda kusifiwa!
 
Last edited by a moderator:
ni bora umewaambia maana wengine wamezidi wanakaa na manywele yao miezi 4 huku wakinuka hovyo
yaani ukikaa nao utaomba ardhi ipasuke ili uingie humo full miuvundo
 
kweli ndugu ulonena nis sawa kwani wengi ni wachafu wa nywele zao hawakumbuki kuziosha wakati joto la ngozi
linapotoka kichwani ujaza uchafu na harufu mbaya kuwatesa wenzio,

bora ya mie niliyenyoa kiistyle
 
Wape wape eeeh vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri lao.

Wengine natural babu wee, khaaa. Halafu uzuri wa mafundisho yetu (Waislaam) uki "do" tu lazima ujitoharishe kwa kuosha nywele, wengine sie ndio sharti kwa ma-oud ya mawardi na ma-haltiti vilua na ma-asmini, kunuka kutoke wapi?

Hata hayo yananuka kama kwa mganga wa kienyeji lol! kuweni wasafi na natural smell bana!!
 
ndio maana mvua ikinyesha wanavaa mifuko ya plastiki

...kuna dada Mmoja alikuwa amevaa nywele bandia huku aki drive kwa manjonjo na minato kibao, akawa kama anapark vile pale ofisini kwetu akatoa kichwa dirishani kuongea na mlinzi¡-., mara upepo mkali huo! ...loh! Mama yangu wigi silikaenda na upepo¡-.! Dada alikuwa haja chana, ikabidi amuombe mlinzi kukimbizana na upepo, mpaka alipata, yule bi dada aliona haya! Akutoka kwenye gari, alisubiri mpaka watu walipoondoka.
 
Jaman heaven on earth simu yangu inasumbua kwenye kukoti...
 
Safi sana mtoa mada!yaani majanga,ila mimi nawachana Live
 
Ukweli ni kwamba usafi muhimu, iwe kwa manywele ya kubandika (ofcoz mi sikuwahi kuweka izo za kubandika coz zangu zanshinda kwa ukubwa) au hata za natural. Na joto la bongo utasukaje rasta au weaving sijui nsoijua mie halafu ukae nazo wiki 2 au mwezi, wengine wanakaa nazo forever. Kama mdada hajanuka afanyaj..........
 
Leo nusura nitapike katika daladala..,

Kama unavyojua tarehe hizi za katikati ya mwezi ni uhaba...,

Imenibidi nitumie usafiri wa umma...,

Tulikuwa tumeshonana alafu bidada ndio yuko usoni kwangu, balaa ! Nusura nitapike jinsi nywele za huyu mwanadada zilivyokuwa zinatoa harufu mbaya..., kwanza nilifikri kuna mtu katoa hewa chafu..!

Loh! Safari nzima..., mpaka ninashuka!

Jamani jirekebisheni akina dada, hii siyo sawa!

Pole sana
 
nywele za bandia zinahitaji pesa... maximum muda wa kukaa nazo ni 2 weeks. sasa warembo (especially masister du) wengi hawana mshiko wa kuzibadili kila wiki. muwe mnawawezesha hizo gharama.
 
Mimi nilishakuta kichaka ktk yale maeneo....duh harufu iliyokuwepo mbona mjamaa alirudi kulala na biashara ikaishia hapo.
 
Leo nusura nitapike katika daladala..,

Kama unavyojua tarehe hizi za katikati ya mwezi ni uhaba...,

Imenibidi nitumie usafiri wa umma...,

Tulikuwa tumeshonana alafu bidada ndio yuko usoni kwangu, balaa ! Nusura nitapike jinsi nywele za huyu mwanadada zilivyokuwa zinatoa harufu mbaya..., kwanza nilifikri kuna mtu katoa hewa chafu..!

Loh! Safari nzima..., mpaka ninashuka!

Jamani jirekebisheni akina dada, hii siyo sawa!

Daaaah
mkuu
Pole sana aisee.
Hilo moja, la pili ni balaa.
Wacha nisiseme bhana
Aibu sana hawa masista du wanafoji sana mpaka kero.
Nywele zenyewe za maiti basi taaabu kweli kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom