Mwanamke huyu lazima mwanaume yeyote rijali na mwenye akili amwoe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
kuwa mwanamke ni moja kati ya jinsia ambazo ni so sensitive na muhimu sana katika hii jamii. ndo maana binafsi huwa nachukia mtu anapomtendea jambo baya mwanamke mwema. anyway hata mwanamke mwovu hapaswi kulipwa kwa ubaya. hizi ni baadhi ya sifa ambazo nasema kila mwanamke akijua thamani yake basi duniani itakuwa moja ya sehemu nzuri sana kuishi
1. mwanamke anapaswa awe na roho ya huruma. siwe na roho ngumu,ya korosho,chuki,husda na kichawi. kiasili kila mwanamke anakuwa na tender heart.

2. usafi wa mwilini ni kitu muhimu sana. kuanzia kichwani hadi kidoleni. umewahi kukaa na mwanamke anagonga gonga kichwa kama vile ndani ya kichwa chake kuna wadudu wanamsumbua so anagonga gonga kuwatuliza? ule ni uchafu kichwani unamwasha.mwanamke wa namna hii huwezi hata mkumbatia au ukawa unachezea nywele zake kwa mahaba.zitakuwa na harufu.

3. kucha za mwanamke zinapaswa ziwe ndefu za wastani zenye kupakwa rangi tajdibu.. siyo rangi nyeusi kama sheani au mchawi. unakuta kucha zimetafunwa au vidole vimekuwa vyeusi kiasi akitengenezea matunda unashindw kula ukifikiria mikono n a vidole vyake. watoto wazuri huwa na mikono mizuri iliyotunzwa kwa usafi.

4. macho ya mwanamke hayapaswi kuzunguka zunguka kama mshale wa saa... yanapaswa yawe na aibu au soni. siyo macho makavu,yamemtoka utadhani kagundua amepoteza pesa ndani ya daladala na alishatoka mtukana konda kuwa asimguse ananuka jasho. macho yanapaswa kuwa mapole yenye utulivu na soni.

5. ni jambo baya mtoto wa kike ananuka jasho.hili jambo nimewahi shuhudia kabisa ofisini dada mmoja alikuwa na jasho kali sana.kaisi mkipishana tu hivi unaweza tapika.hili halipaswi kuwepo kwa mwanadada. mwanamke inapaswa muda wowote ikitokea mumeo anataka kukukumbatia asishindwe.

6. mwendo wa mwanamke... una haraka ya nini na kutembea kwa kishindo utadhani unashindilia ardhi? hujawahi sikia maneno "mwendo wa hesabu na hatua za maringo?" c'mon tembea taratibu kama vile una wasiwas wa kuwa ukikanyaga kwa nguvu utaumiza ardhi.tembo na unene wake wote ule haweki kishindo utakuwa wewe? kila wakati upo kwatu kwatu tu mwanadada halafu unalalamika wanaume hawakuoni.

7. ukiwa umeumbwa mweupse shukuru sana kama ni mweusi basi wala usihangaike na michubuo.wanawake wanaojichubua ni wanawake inferior sana na wasio na elimu most of them.ipende rangi yangu na uiheshimu.wote wangekuwa weupe then weupe usingekuwa deal.umeumbwa mweusi basi jikumbushe "black is beauty"

8. mwanamke tunza sana sehemu yako ya siri. nahakikisha ni ya siri kweli kweli. siyo unaifanya inakuwa public. mtu akitaka tu ku access ana access... akisema nione.unamwonesha.akisema nitumie unampa. sehemu ya siri inakuwa chafu.kiasi kwamba kama umeandaliwa kabla ya tendo na mumeo inabidi ukanawe... nimewahi zunguka siku moja na dada mmoja kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 2 usiku tukawa tumekula nimrudishe kwao. nikatamani kupima oil.yule dada alikuwa msafi utadhani ametoka kuoga.K safi haina shombo hata. ina harufu yake ya asili tu.nilimwambia kwa kweli na kumpa pongezi sana.

9. mwanamke maneno. usiwe na maneno makali,usipaze saut unaongea kila mtu asikia.mtoto wa kike unapswa ukiongea unayeongea naye anakuuliza mara mbili mbili unasemaje? ongea kwa taratibu na usimwite mtu kama yupo mbali.sauti yako ni ya thamani sana usiache kila mtu akaisikia.

10. hata michango yako humu JF iwe ya busara.. we mwanamke gani unajianika tu na kulazimisha mabwana humu ndani.mimi bwana angu xx n.k we kila wakati unazungumzia ku**wa tu na ku**ana. lazima watu wajue upo biasharani watakutumia tumia tu mwishowe wanaenda oa wanawake wenye akili.

11. mwanamke vaa vizuri basi. kuvaa vizuri si sawa na kuvaa vitu vya gharama.unaweza ukawa na uwezo mdogo lakini unavaa vizuri na kupendeza au kwa usafi. mavazi hayana mchango sana kwa mwanamke trust me. uzuri hautokani na mavazi.

12. staha ni muhimu ... mwanamke unakunywa pombe mpaka pombe zinakukoma. viwanja vyoote unavifahamu. hata kama mwanaume anakunywa lakini asilimia kubwa wanaume hawapendi wanawake walevi au wanywaji. hawapendi wanawake wa viwanja.

13. nidhamu ni jambo muhimu. hata mwanamke mwenzio hamfai kuwa mnatukanana kwa kigezo chochote kile. unapaswa uwe na nidhamu ya hali ya juu. nimewahi shuhudia dada mmoja akimchapa mchumba wake kibao mbele za watu na kumtukana sana. yule mwanaume hakufanya jambo lolote aliondoka tu na nasikia siku ile ile alivunja uchumba.nidhamu

15. jijali basi.. mavidole ya miguuni na migu yenyewe unakuta imekomaa haina kabisa mvuto sababu kuna sehemu za mwili wako nyingine unaona si za maana sana.unawekeza usoni na kwenye kuongeza makalio tu. sisi wengine tunakagua kuanzia chini hadi juu.

16. mwanamke na tabia ya kuomba omba hela inakwaza sana wanaume wengi.wewe kidogo tu unaomba pesa. kidogo tu unataka upewe pesa... halafu unabak kulalamika waoaji siku hizi hamna. wakati wewe mwenyewe si muolewaji.

17. jitahidi basi uwe na akili au uonekani smart. kiswahili hujui, kiingereza hujui kabila la kwenu hujui.sas wewe unajua nini?kuchanua miguu tu? mtu akisha kutia basi hamna mnaloweza kuongea maana huna akili na hata lugha yako haivutii kusikilizwa. unajikuta watu wanakutumia tu wanaondoka.wewe muda wote unasimulia bongo movies na wasanii. hujui maisha mengine na mipango ya pesa halali.

18. muhimu sana kumcha Mungu. na umwogope na kumweshimu ili hata ukiolewa mume asiwe na mashaka kuwa unaweza ukawa una mcheat kila wakati sababu huna hofu na Mungu.

19. mwanamke ANATAKIWA AWE MCHOYO. ndiyo awe mchoyo wa kutoa K kwa watu wengine na huko awe mkatili. lakini kwa mumewe anytime. mume akitaka jikoni apewe, akitaka chumbani apewe, akitaka chooni apewe, akitaka ndani ya gari apewe, akitaka uchochoroni apewe, akitaka kwenye jumba bovu apewe. apewe tu kwa styke yoyote atakayo. ila kwa wengine mwanamke anapaswa awe mkatili na mwenye roho mbaya sana linapokuja suala lake la kutoa papuchi.

20. apende ndugu na jamaa za mume wake, awe mnyenyekevu na mwenye kusamehe.awe na busara.siyo wakati wa tendo la ndo anaanza kusema "unajua baba gunzi flani alikuja kudai pesa yake ametukana sana" hii si busara. wakati wa tendo mwanamke anatakiwa aneng'eneke..."uwii.. my gosh.. una nanii tamu, hapo hapo... peleka kulia au kwa juu tena... mume wangu usimpe mtu ub*o wangu nakuomba..." haya ndo maneno ya kusema.
 
Utatafuta sana lkn kuja kumpata hata unayedhania utakuja kufikia uamuzi kuwa hata yeye hakustahili
 
Mi nilidhani ntakuta kapicha ka huyo mrembo kumbe unatuletea story za kucopy na kupaste
 
Hahahaha hii no. 6 umenichekesha saaana🤣🤣🤣..... kwamba tusishindilie ardhi 🤣🤣🤣
 
Duuh Mkuu upo sawa ,ila hakuna mkamilifu kwa vigezo hivyo duniani.Hata sisi sio wakamilifu.
 
ha ha ha mkuu.. kuna jamaa ameshamzalisha na kumwoa kienyeji. ila kama yule dada ataendelea kuwa na papuchi safi ile sishangai jamaa kuamua kumchukua moja kwa moja... ilikuwa safi sana kipindi kile mimi naitumia. nliipenda kwa kweli. so clean and freshy.

huyo mwanamke uliempima oil unategemea aolewe na nani..?
 
mama picha yako is inakutosha. toka umefaham neno copy and paste basi kila unapoweza unalichomeka tu. ukinionesha nime copy wapi na kupaste naomba life ba humu JF. kama sivyo chukua tukopo nenda msalani.

Mi nilidhani ntakuta kapicha ka huyo mrembo kumbe unatuletea story za kucopy na kupaste
 
Ni vigumu kumpata mwenye sifa zote hizo.. Haswa hiyo no.6! Haki kutembea kidogodogo cwezagi yaan
 
Back
Top Bottom