Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

kisafi sana, nashuka kwenye V8 naingia kwenye apartment! natoka kwenye apartment naingia kwenye V8. NI PM nikuwezeshe usiwe na unga makwapani!

haha loh! Unga gan huo sembe,ngano dengu ama?
 
mmh, dada mkubwa! Sasa ina maana mume akiwa kwa bi mdogo mwezi kule singida ndo kuosha nywele bye bye? Usafi ni asili. tena hatari sana mtu akiweka maji ya utosi na asioshe nywele. na kuna wanaonuka mavazi pia. Kweli kuna watu inabidi tu kuwavumilia na kushukuru Mungu kuwa hulazimiki kukaa nao karibu aisee. afu unakuta usoni kajipodoaaaaa!

Hata ukimaliza hedhi pia lazima ujitoharishe. Tena unahimizwa kufanya usafi, kuosha, kukausha, na kutumia vitu venye harufu nzuri kama al oud na udi. Hata kunyoa mavu.zi na kukata kucha pia tunahimizwa, sio unasimama kwenye sala au unaenda msikitini unakirihisha wenzio. Ibaki uchafu tu wa mtu mwenyewe.
 
Wape wape eeeh vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri lao.

Wengine natural babu wee, khaaa. Halafu uzuri wa mafundisho yetu (Waislaam) uki "do" tu lazima ujitoharishe kwa kuosha nywele, wengine sie ndio sharti kwa ma-oud ya mawardi na ma-haltiti vilua na ma-asmini, kunuka kutoke wapi?

Nyie si ndio mnajitwanga maudi, mnanukia kama mabeberu ya jangwani Sudan au Somalia
 
Hata ukimaliza hedhi pia lazima ujitoharishe. Tena unahimizwa kufanya usafi, kuosha, kukausha, na kutumia vitu venye harufu nzuri kama al oud na udi. Hata kunyoa mavu.zi na kukata kucha pia tunahimizwa, sio unasimama kwenye sala au unaenda msikitini unakirihisha wenzio. Ibaki uchafu tu wa mtu mwenyewe.

Hapo bold...ndio maana mnanukia kama beberu wa jangwanieeeeeeeeee
 
kweli ndugu ulonena nis sawa kwani wengi ni wachafu wa nywele zao hawakumbuki kuziosha wakati joto la ngozi
linapotoka kichwani ujaza uchafu na harufu mbaya kuwatesa wenzio,

bora ya mie niliyenyoa kiistyle

Umenyoa nini?
 
Wape wape eeeh vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri lao.

Wengine natural babu wee, khaaa. Halafu uzuri wa mafundisho yetu (Waislaam) uki "do" tu lazima ujitoharishe kwa kuosha nywele, wengine sie ndio sharti kwa ma-oud ya mawardi na ma-haltiti vilua na ma-asmini, kunuka kutoke wapi?
Umesema yote dada!!!
 
hahhahahhahahhh kazi ilikuwepo kumbe huku!
duh!
sasa kuna ile habari ya mawigi!
MULE NDANI KUNAKUWA NA MABUTU SI MABUTU!TWENDE KILIONI SI TWENDE KILIONI!
YANI MRADI VURUGU!sasa swa asbuhi umependeza vizuuuuuri!
ila dawa ya mbu uliyosuka chin ya hilo wiki mapka mstari haunokeni mweeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
KHA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom