Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,549
Afu nywele zinanuka jasho vibaya kuliko kwapa. Kinyaa tupu. Ila wanaume wana kazi aisee. m
bora umeliona hili aisee, tuna kazi kweli kweli.
Afu nywele zinanuka jasho vibaya kuliko kwapa. Kinyaa tupu. Ila wanaume wana kazi aisee. m
Ndiooo ivyo, we ujawahi ziona nn?ha ha ha etiiii nyoya za kibrazil salaleh!!!
HahahaLeo nusura nitapike katika daladala..,
Kama unavyojua tarehe hizi za katikati ya mwezi ni uhaba...,
Imenibidi nitumie usafiri wa umma...,
Tulikuwa tumeshonana alafu bidada ndio yuko usoni kwangu, balaa ! Nusura nitapike jinsi nywele za huyu mwanadada zilivyokuwa zinatoa harufu mbaya..., kwanza nilifikri kuna mtu katoa hewa chafu..!
Loh! Safari nzima..., mpaka ninashuka!
Jamani jirekebisheni akina dada, hii siyo sawa!