miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Yaani inaboa kama nini.....usiombe inyeshewe!!!
Yaani inaboa kama nini.....usiombe inyeshewe!!!
Ha ha haaaaaaaaa viwigi, bonding,human hair, piece, fake braziliani kushoneaaaa na makolombwezo yyyyoteeeeee mupoooooooooooo!!!!!!!!!
Shurti kuunukisha mto hapo bedini!!!!!
Kila saa hani hag mi,mara ooonh nilale kifuani kwako??!!!!
Usiombe apigwe na mvua sasa!!!!!
Hebu fanyieni kazi hii....kansa za mapafu zinasababishwa na mengi!!!!!!!
hahahahahahahahahahaha!! Looooh!!!! U made my day mkuu wangu!! Bora yangu nsiyependa kaa na nywele long tyyyme!! Mweh!! Kwahyo hao ulowataja ndo hawaoshag nywele zao au?umenimix kidog!!!
...Na kilio changu kingine ni makwapa, makwapa machafu mpaka yanatoa unga unga? wanawake kuweni wasafi bwana!
kweli kabisaa wasichana wengi wananuka nywele.
hapo papuchi hujagusa
...Na kilio changu kingine ni makwapa, makwapa machafu mpaka yanatoa unga unga? wanawake kuweni wasafi bwana!
Wasichana acheni kukaa na nywele miezi kibao bila kuosha. Uchumi ukikushinda si ukate!
wape wape vidonge vyao. Mie ni kipara kwa kwena mbele
Ha ha haaaaaaaaa viwigi, bonding,human hair, piece, fake braziliani kushoneaaaa na makolombwezo yyyyoteeeeee mupoooooooooooo!!!!!!!!!
Shurti kuunukisha mto hapo bedini!!!!!
Kila saa hani hag mi,mara ooonh nilale kifuani kwako??!!!!
Usiombe apigwe na mvua sasa!!!!!
Hebu fanyieni kazi hii....kansa za mapafu zinasababishwa na mengi!!!!!!!
hahahahahahahahahahaha!! Looooh!!!! U made my day mkuu wangu!! Bora yangu nsiyependa kaa na nywele long tyyyme!! Mweh!! Kwahyo hao ulowataja ndo hawaoshag nywele zao au?umenimix kidog!!!
Tena na.wewe nilikusahau!!!!!!
Last time nilipokuambia acha ubahili wa kubania perfume nilikuwa namaanisha kiwigi kinatema mpaka perfume imemezwa!!!!!!!!
Ukaoshage banaaa,mtu m cute na ka smell wapi na wapi!!!
Ha ha ha ha, mie napenda zaidi nywele zangu kuliko wigi. Japo huwa naweka once in a while, lakini nikiweka, natoa na kutupa. Nikitaka kuweka tena nanunua mpya. Hii kuosha na kuset, saloon wakikosea tu au ukinyeshewa ni hatari. Afu kitu kingine wigi zikikugusha zinawasha ngozi, ndio maana sizipendi.