MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
Anakufanyia vimambo kama kukununulia nguo zako, wakati mwingine kama kuna vitu vilipungua unakuta ameshanunua hata kama huwa inajulikana unanunua wewe..ukitimiza wajibu wako, mke anajitahidi kuonyesha na yeye anaweza kutoa mchako kama msaada wa ziada.
Sasa pesa uipeleke kwa mchepuko alafu utegemee heshima nyumbani? Akigoma kutoa hata kumi utamlaumu? Na sio jukumu lake kwanza kuhudumia familia.
shikamoo mkuu!

