Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Kwakweli mimi nimejiwekea kwamba nitapumzika pale mungu atakaponichukua, mimi mke wangu anafanya kazi lakn hata mshahara wake siujui na wala sitaki kuujua,kwakuwa ni banker basi fedha zangu zote nimeziweka kwenye account ambayo ana access nayo,chaajabu nikisafiri ananipigia tena simu oooh sijui gesi imeisha,mara oooh sijui nini imeisha,sasa namwambia hela yote unayo huko alafu unanidai tena huku, yaani mwanamke sijui huwa wanakuwa na nini,hapa jana ananiambia king'amuzi kimeisha wakati account yangu yupo nayo
Tunapenda attention na kudeka pia, hivyo basi anataka tu kusikia sauti yako.
 
Kwakweli mimi nimejiwekea kwamba nitapumzika pale mungu atakaponichukua, mimi mke wangu anafanya kazi lakn hata mshahara wake siujui na wala sitaki kuujua,kwakuwa ni banker basi fedha zangu zote nimeziweka kwenye account ambayo ana access nayo,chaajabu nikisafiri ananipigia tena simu oooh sijui gesi imeisha,mara oooh sijui nini imeisha,sasa namwambia hela yote unayo huko alafu unanidai tena huku, yaani mwanamke sijui huwa wanakuwa na nini,hapa jana ananiambia king'amuzi kimeisha wakati account yangu yupo nayo
Huyo mama safi sana,,, anatenda kama impasavyo,,, hafanyi chochote bila kumshirikisha mumewe,,,,mwelewe tu huyo mama kuwa yuko sahihi,,,, na ana play role yake,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky, kwa nini basi wote tuamke asubuhi, tuwaache watoto wadogo kabisa(imagine after three months mama anamuacha kichanga home anaenda kazini), twende kazini, turudi saa mbili usiku, watoto hawatujui vizuri coz tunatafuta pesa.

Then kipato cha mmoja kiwe "optional" kutumika? Hivi, what's the point you waking up at 0500hrs, coming back home at 2200hrs if you are stingy to your own family and can't share your income?

Nilidhani point ya wote kuamka saa 11 na kurudi saa nne ni kutafuta pesa kwa ajili ya familia. Sasa kama mmoja anaona kipato chake sio cha familia, anaitwaje family member? Na kwa nini aamke saa11, angekaa tu home ingekuwa busara zaidi.
Kwanini Eli79 wageni wakipewa direction ya kuja kwako si wanaambiwa aah ile nyumba ya Eli79 si aah ile nyumbani ya Sky no. You should earn that title head of the house
 
Kwanini Eli79 wageni wakipewa direction ya kuja kwako si wanaambiwa aah ile nyumba ya Eli79 si aah ile nyumbani ya Sky no. You should earn that title head of the house
Nikifa mirathi atachukua baba yangu?
 
mleta mada naona bado sana na kama unafamilia mmmmh sijui.
Umesma kweli kuwa biblia inasema ivo sawa, kama ivo mbona ukipata mshahara humpi mmeo wote maana ndo kichwa cha familia we msaidizi, hupaswi kufanya chochote bila yeye(kichwa) maana wewe huwezi kuongoza au kuanzisha wewe ni msaidizi. ukiona mwanamke yuko vizuri lakini hataki kutoa kisa yeye sio kichwa cha familia kamata mwizi. Ndo maana wanawake waohoji na kutaka wafanye yao na mme afanye yote, ni vigum kuishi na mme. ndo maana ili kuepusha ili wananume wanaoa ambao hawana kazi zile zinazosumbua na kuleta kuhoji kama wanasheria. wanaoa wanyumbani ambaye utatoa asilimia 100% kwake, kumpa miladi ambayo yeye atakuwa msaidizi, apo mtaishi.
Isitoshe nyie wanawake wenyewe ndo mlileta asilimia 50% kwa 50% leo hamtaki tena sasa mnaitaka wapi, kwenye vyeo na majukum ya nyumbani hamtaki. Mtatubu sasa.
 
Nakubaliana na wewe 100% jasho langu lote litaliwa na familia yangu. Nani mwingine kama sio wao. Kwanza inaleta baraka nyumbani kupungukiwa itakuwa hadithi.






Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache wanaelewa hiyo, ni wewe na mume wako ndio mnawajibika kwa familia yenu, akianguka na wewe umeanguka, akikosa maendeleo na wewe upo humo humo.
 
wanawake ni wachoyo sana,,, mmeumbwa hivyo.... kwani ukichangia familia ya unapungua wapi,,,,au zako wewe ni kwa waganga tuu....... tena ukicheza nao hata sadaka atakuomba japo hata mshahara amekuzidi....hivi mnataka nini sasa ili tuifurahie dunia pamoja ke+me.......kujidai kuchepuka kufidia hako ni katabia kako,,,hakafutiki kamwe....
 
Kuna mhenga mmoja aliniambia "usile wala usilale nyumba ya mwanamke" mi sijawahi hata kumuomba Vocha mwanamke yoyote ambaye nilipita kwenye mahusiano nae tena kuna kipindi nilikua Msichana aliekua anafanya kazi alaf mi nipo College lkn nilikua namuhudumia mambo madogomadogo na hata tukitoka out hua natumia hela yangu.
Kweli Dada mwanaume lazma uact like a man
 
Kuna mhenga mmoja aliniambia "usile wala usilale nyumba ya mwanamke" mi sijawahi hata kumuomba Vocha mwanamke yoyote ambaye nilipita kwenye mahusiano nae tena kuna kipindi nilikua Msichana aliekua anafanya kazi alaf mi nipo College lkn nilikua namuhudumia mambo madogomadogo na hata tukitoka out hua natumia hela yangu.
Kweli Dada mwanaume lazma uact like a man
 
Mwanamke zingatia Haya Wakati wa Kuomba hela Kwa Mwanaume la Sivyo Utaonekana Kicheche



Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza.

Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume au kinyume chake, Ingawa kwa kiasi kikubwa ni wanaume ndio wanawajibika zaidi kutunza wapenzi au wake zao.

Nilichotaka kuwakumbusha wanawake zaidi ni kwamba kweli ni haki yao kutunzwa na waume zao lakini kunavigezo na masharti uzingatie kwa mfano:-

1. Mda gani hasa unapaswa kuomba HELA tangu mahusiano kutokea.
Mapenzi ata wiki bado umeshaomba uchongeshewe kabati LA vyombo.

Haiwezekana kuomba HELA Mara tu mpenzi wako anapokuomba kukutana ata kwa salam tu za kawaida. Mkutano WA kwanza ushaomba HELA ya kusukia mweeh.

2. Usimuombe HELA kwa mume au mpenzi ambayo anatoaga ata bila kuomba, ni uroho.

3. Angalia aina ya kazi anayofanya mpenz au mume na kipato chake ujue aina ya kizinga kinachomfaa, usije kumuova dozi.

4. Weka nafasi ya kutosha kati ya kizinga kimoja na kingine.Isiwe Jana pango ya NYUMBA imeisha, wiki ijayo simu imeingia kwenye ndoo ya maji .

5. Muandalie mazingira mazuri ya furaha kutoka kwako,ikiwezekana baada ya kumpa mavituz yalioenda shule ndio unamkurupusha na kizinga.

6. Kukosa kupo pia sio kila utakapoomba utapata wakati mwingine atakua anasaidia na ndugu pia.
Mume au mpenzi akikuambia cna ujue ana na inatakiwa maisha yaendelelee sio ndio unaanza simu hapokei ppchi hautoi sio poa.

7. Vizingi vikue taratibu usianze tu kuomba laki noo!, anza na kitu cha msimbz then unaangalia upepo ukiona anakuja poa unaendelea usikurupuke tu.

8. Pima aina ya mapenzi unayotoa kwa mtu yana hadhi ya kupewa unachotaka kutokana na ulichotoa. Umenipa mende kafa,laki yangu unaitaka ya nini? Yako wewe ni 5000 kwa services hii.

9. Jitaidi na wewe kumpa chochote ata kama kitatokana na HELA yake nwenyewe poa tu si anajua wewe huna kazi na kipato chako kidogo.

10. Sio lazima kila mkikutana kimwili lazima afungue pochi cku nyingine muagane tu. Kuna watu waajabu mno udhani kila gemu inamtonyo sio ivo.

NB.
Nazungumzia wale wasioelewa ayo apo juu na sijamaanisha wanawake wote.


Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Mnatumia feminism kuyakwepa, why mfikirie upuuzi huu sijui km kuna mwanaume wa kweli atakwepa majukumu yake, km hali ya uchumi inaruhusu..!

Tatizo lenu wanawake kulalamika km mzimu, ukinunua kiberiti mpaka mtaa nanrme wanajua..!

Mimi nawambia mdada ukiwa na akili ya kupima kwa kijiko km yako, ndoa mtazisikia kwenye WhatsApp labda ubadirike ndoa haina formula.
Sio kwa makavu hayo mkuu!
 
Kwa ujuaji huu ndoa nying lazima zivunjike tu maana kila siku watu mnakuja na elimu ngeni..

iphone 7
 
aya mambo ni kutokana na asili ya jamii husika, aina ya uzalishaji mali, jiografia n.k ivyo kama familia mama na baba mnaweza kukubaliana aina ya majukumu kadri ya namna na mfumo wa jamii pia kuzingatia mahitaji ya familia yenu
 
Napenda zaidi mwanamke ndani ya familia achangie kadri ya uwezo wake. Poa mimi nitalipa ada, ujenzi na dharura nyingine kubwa kama matibabu. Lakini mke wangu a guarantee chakula nyumbani, ikiwa pamoja na mahitaji ya wazee wetu popote walipo. Itokeapo hitaji kubwa la pesa kama vile ujenzi au kitu cha maendeleo na yeye achangie kama anao uwezo, sio niumie mimi tu wakati nae uwezo anao. Je atakuwa ana faida gani kwa maendeleo ya familia sasa?
Pamoja na kufanya hayo makubwa ya kuwa na boma/maboma nashangaa wakina mama wanaona hii kama ni kazi ndogo! Kujenga boma si kazi ndogo, ni shughuli na jasho lazima likutoke mwilini, gharama yake ni kubwa na haijalishi kama nyumba ni ya vyumba 2 au 10!
Na wakina mama neno (kwangu) huwa ni rahisi sana kulisema wakiwa na wenzao, lakini hawapendi ku appreciate ile nguvu iliyoingia pale toka ununuzi wa eneo na kuanza toka a-z, hili wakina mama lazima, narudia tena lazima muwe mnatusifia kila wakati na (zawadi) juu kila tukiwa depressed😉
 
Tatzo wanawake wa ckuiz wajinga sana alfu wanataka 50 kwa 50
 
Mbona ni asubuhi hii mkuu , mimi mama ntiliye niko kibaruani

mwanamke ni pambo la nyumba akipendeza hata wewe roho yako inaridhika. Mwanaume anaejali majukumu yake unampa heshima kama uliyokuwa unampa baba yako ukiwa bado kigoli nyumbani kwenu

Hahaa eti Mapambo ya nyumba, wanawake nyie wenyewe mmekuwa kama vyandarua, kila tundu lenu LA mwilini lishatumika Sky Eclat
 
Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.

Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?

Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
hiyo itakuwa tabia yake sio kwa sababu yangu ya umalaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom