Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Kuishi na mwanamke raha sana. Hasa ukiijua akili yake. Halafu, kwa nini nimwambie atoe 50% ya kipato chake? Ndiyo maana niliamua kuoa mama wa nyumbani tu. Kazi yake kuibebisha familia tu, baaaaasiii!

Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
Safi kabisa, kama akili zao ndiyo hizi, nakupa hongera kwa maamuzi ya kuoa mama wa nyumbani!
Wanawake wengine akili zao sijui huwa wanaziweka sehemu gani! Mleta uzi umenishangaza kweli kwa uzi huu.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Ujue nilikuwa nakuheshimu sana. Ila sikuizi nimeacha na nimegundua ulikuwa unaigilishia kuwa mwema
 
Ni kweli unavyosema, mwanaume ukikubali kuwa dunia imebadilika na unaishi na co-partner basi na wewe ukumbuke kupuga deku chooni na kufua mashuka J' most. Huwezi kuwa na keki yako na kuila kwa wakati mmoja
Ndio maana wote inabidi tubadilike. Sio sahihi kutegemea ufanyiwe kama mama yako alichofanya kipindi unakua maana wengi hawakua na Kazi, sawa na ilivyo usitegemee upewe kila kitu kama baba yako alivyompa mama yako maana wewe una Kazi. Kama mmeamua kuwa na mfanyakazi wa ndani basi afanye Kazi zake. Life is simple sana, tatizo tunafanya vitu viwe vigumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue nilikuwa nakuheshimu sana. Ila sikuizi nimeacha na nimegundua ulikuwa unaigilishia kuwa mwema
Hata mimi hili leo ndiyo nimeliona kuhusu huyu dada! Nilikuwa namuheshimu kweli huyu member ila kwa uzi huu amenisababisha nimtafakari upya!

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi hili leo ndiyo nimeliona kuhusu huyu dada! Nilikuwa namuheshimu kweli huyu member ila kwa uzi huu amenisababisha nimtafakari upya! Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Swali lilitakiwa nani kamuwahi maana wengi wangependa awe mke wao, anauliza maswali ambayo wanaume wanapata kigugumizi, swala sisi tugangamae naye, tujibu mapigo, hoja kwa hoja, aelewa tunajitambuwa, sisi tunajali wake zetu, tunajali mama zetu, ila wasitujaribu maana tukilipuka ni patashika...
index11.jpeg
index.jpeg
ind11ex.jpeg
imagesaa.jpeg
imagesw.jpeg
 
ndiyo mkuu kwenye kutoa hela
Ndo maana wahenga wanasema kuwa hamjui wanawake mnachokihitaji. kama mapenzi ya kweli ni mwanaume kutoa hela nyingi basi naamini kuwa mkiendelea kutukanwa, kudharauliwa, kutumiwa hovyo kingono kaeni kimya maana mnataka hela iwe inakohoa, roho mbaya ya mwanaume huanzia pale anapoombwa hela sana as if yeye ndo aloziunda. haina noma ngoja tuziafute then tuendelee kuwakula tu mpaka tuchoke maana hela ni yetu, then hatutaki nyuzi humu za kulalamika lalamika
 
Swali lilitakiwa nani kamuwahi maana wengi wangependa awe mke wao, anauliza maswali ambayo wanaume wanapata kigugumizi, swala sisi tugangamae naye, tujibu mapigo, hoja kwa hoja, aelewa tunajitambuwa, sisi tunajali wake zetu, tunajali mama zetu, ila wasitujaribu maana tukilipuka ni patashika...
View attachment 545357 View attachment 545358 View attachment 545359 View attachment 545360 View attachment 545361
Huyu dada anajielewa, nadhani leo kaamua tu kuchafua upepo kwa makusudi yake!

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
kama kuna nia ya kujenga familia imara haina hata haja ya kuhimizana. zitatoka hata zaidi ya 50%. Napenda mwanamke muwajibikaji katika familia. Mwanamke akiwajibika hata mimi nitawajibika asilimia zote.
Hapo umenikosha,,, utakuta mwanamke japokuwa ni goal keeper,, pia hata uwezo wa kufikiri na kumpa mawazo ya maana ya kimaendeleo mwenza wake,, anakuwa hata upeo,, 5%,,, hiii danger sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nna mke ujue na anafanya kazi serikalini kwenye nafasi nzuri tu na ana mshahara si haba, ila pesa zote za mahitaji ya ndani na kuendea saloon ananiomba wakati mimi siko vizuri kivile, sasa sielewi pesa zake ye huwa za kazi gani. Ukimuuliza anakwambia mara ohh namsomesha mdogo wangu, mara nawasaidia wazazi wakati wazazi wako vizuri tu. Nyie wanawake ni majanga kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo mkeo baada ya miaka kumi usishangae kuambiwa ana nyumba mbili somewhere, na hatakuambia, utasikia tu kwa marafiki au ndugu.

Nyumba(familia) ya hivyo Mungu aniepushie mbali.
 
Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.

Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?

Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
ce861a62bb4fb64ba69868916d76014e.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
eeeh Mungu na mimi mjalie mke wangu awe na moyo kama wa mahondaw nikimcheat akijua aendelee tuu kunipenda mana wanawake wengi na cc wanaume wachache kwaiyo tumeumbwa ili tuwape utamu wote na c kwa mmoja tuu Mungu mjalie mke wangu awe na moyo kama wa uyu dada mahondaw akija jua na mcheat asinichukie aendelee tu kunipenda cc Mrs Mkunungu.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaahhahahaahahahahaha Smart911 ni dhahabu rafiki siwezi kupiga teke bakuli la dhahabu..
He makes me live a happily life.. Classic one. I don't care his history as long as I got him. I don't want to lose him so easily.. never

Mahondaw wa Smart911
 
Back
Top Bottom