I love Smart911 kuliko kitu chochote na najivunia kumpata his history has nothing to do with me. even you have your history I also have mine.. What's important now is that I got Smart911 a unique man. so give us a break pipoHata K alimsifia hivihivi
Ur kind of my girlHuez uukaniita mkeo na ukataka nikupe heshima za mume kama nachangia asilimia 50 ya mahitaji nyumban![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
eeeh Mungu na mimi mjalie mke wangu awe na moyo kama wa mahondaw nikimcheat akijua aendelee tuu kunipenda mana wanawake wengi na cc wanaume wachache kwaiyo tumeumbwa ili tuwape utamu wote na c kwa mmoja tuu Mungu mjalie mke wangu awe na moyo kama wa uyu dada mahondaw akija jua na mcheat asinichukie aendelee tu kunipenda cc Mrs Mkunungu.....
Utafanya Yale madogo madogoWee mshahara wako unataka umpe nanii? Kazi unafanya ya nini sasa,,,basii kaa nyumbani uhudumiwe,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo mkuu kwenye kutoa hela😡😡NONSENSE😡😡 kwani kuwa mwanaume ni kwenye kutoa hela tu?? kwani we ukitoa hela shida iko wapi?? ila kama wewe ni wa vidume mbadala hata ukiambiwa uchangie 0% bado utarukaruka tuu
good morning to you.
Huyo ni mfano wako wa kufanana naee,,,,,,ubavu wake,,,nyama katika nyama yakee,, na utaambatana nae,,, sasa ubaguzi kwenye mshahara unatoka wapii,,,si mmekuwa mwili mmoja nyiee??Utafanya Yale madogo madogo
Nakubaliana nawe 100%Sky, kwa nini basi wote tuamke asubuhi, tuwaache watoto wadogo kabisa(imagine after three months mama anamuacha kichanga home anaenda kazini), twende kazini, turudi saa mbili usiku, watoto hawatujui vizuri coz tunatafuta pesa.
Then kipato cha mmoja kiwe "optional" kutumika? Hivi, what's the point you waking up at 0500hrs, coming back home at 2200hrs if you are stingy to your own family and can't share your income?
Nilidhani point ya wote kuamka saa 11 na kurudi saa nne ni kutafuta pesa kwa ajili ya familia. Sasa kama mmoja anaona kipato chake sio cha familia, anaitwaje family member? Na kwa nini aamke saa11, angekaa tu home ingekuwa busara zaidi.
Ndiyo sikatai kama mimi ni mke nitafute nitapika nitaogesha watoto, sitatoka ndani bila ruhusa yake na yeye ndiye head of the house. Chakula kikiiva kwanza nimpakulie baba na mapaja yote mawili ya kuku atatengewa yeye lakini nitakacho fanya ni hela ya vitunguu na nyanya tuHuyo ni mfano wako wa kufanana naee,,,,,,ubavu wake,,,nyama katika nyama yakee,, na utaambatana nae,,, sasa ubaguzi kwenye mshahara unatoka wapii,,,si mmekuwa mwili mmoja nyiee??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani point ya wote kuamka saa 11 na kurudi saa nne ni kutafuta pesa kwa ajili ya familia. Sasa kama mmoja anaona kipato chake sio cha familia, anaitwaje family member? Na kwa nini aamke saa11, angekaa tu home ingekuwa busara zaidi.
Agreed,,,chacho, chako,,,,chake chenu,,,,ndoo principle ya marriage,,,Ndiyo sikatai kama mimi ni mke nitafute nitapika nitaogesha watoto, sitatoka ndani bila ruhusa yake na yeye ndiye head of the house. Chakula kikiiva kwanza nimpakulie baba na mapaja yote mawili ya kuku atatengewa yeye lakini nitakacho fanya ni hela ya vitunguu na nyanya tu
Kwakweli mimi nimejiwekea kwamba nitapumzika pale mungu atakaponichukua, mimi mke wangu anafanya kazi lakn hata mshahara wake siujui na wala sitaki kuujua,kwakuwa ni banker basi fedha zangu zote nimeziweka kwenye account ambayo ana access nayo,chaajabu nikisafiri ananipigia tena simu oooh sijui gesi imeisha,mara oooh sijui nini imeisha,sasa namwambia hela yote unayo huko alafu unanidai tena huku, yaani mwanamke sijui huwa wanakuwa na nini,hapa jana ananiambia king'amuzi kimeisha wakati account yangu yupo nayoNi pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.
Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?
Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.