Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,638
Reaction score
220,409
Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.

Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?

Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
 
Karibu Shanghai Dada, wachina ndo walivyo huku hakuna hta mashuga mamy wanao honga.

Ok, muulize kwanini anafikia maamuzi hayo?
 
Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.

Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?

Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
na hapo ndo mnapo haribu wadada unakuta mwanaume unahenyeka kuendesha familia then mkeo ana kaz kila siku unaona anabadilisha mitindo ya nywele tu hela yake huioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuishi na mwanamke raha sana. Hasa ukiijua akili yake. Halafu, kwa nini nimwambie atoe 50% ya kipato chake? Ndiyo maana niliamua kuoa mama wa nyumbani tu. Kazi yake kuibebisha familia tu, baaaaasiii!

Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
 
Mnatumia feminism kuyakwepa, why mfikirie upuuzi huu sijui km kuna mwanaume wa kweli atakwepa majukumu yake, km hali ya uchumi inaruhusu..!

Tatizo lenu wanawake kulalamika km mzimu, ukinunua kiberiti mpaka mtaa nanrme wanajua..!

Mimi nawambia mdada ukiwa na akili ya kupima kwa kijiko km yako, ndoa mtazisikia kwenye WhatsApp labda ubadirike ndoa haina formula.
 
Sawa lakini ndo kutushauri mida hii?
We hulali
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
au jamaa kakukera

Nothing is easier than blaming others for your own problems
Mbona ni asubuhi hii mkuu , mimi mama ntiliye niko kibaruani
na hapo ndo mnapo haribu wadada unakuta mwanaume unahenyeka kuendesha familia then mkeo ana kaz kila siku unaona anabadilisha mitindo ya nywele tu hela yake huioni

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanamke ni pambo la nyumba akipendeza hata wewe roho yako inaridhika. Mwanaume anaejali majukumu yake unampa heshima kama uliyokuwa unampa baba yako ukiwa bado kigoli nyumbani kwenu
 
Kuishi na mwanamke raha sana. Hasa ukiijua akili yake. Halafu, kwa nini nimwambie atoe 50% ya kipato chake? Ndiyo maana niliamua kuoa mama wa nyumbani tu. Kazi yake kuibebisha familia tu, baaaaasiii!

Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
Unabeba majukumu yote, wewe ni baba wa familia
 
Kuishi na mwanamke raha sana. Hasa ukiijua akili yake. Halafu, kwa nini nimwambie atoe 50% ya kipato chake? Ndiyo maana niliamua kuoa mama wa nyumbani tu. Kazi yake kuibebisha familia tu, baaaaasiii!

Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
unabeba majukumu yote, wewe ni baba wa familia
😡😡NONSENSE😡😡 kwani kuwa mwanaume ni kwenye kutoa hela tu?? kwani we ukitoa hela shida iko wapi?? ila kama wewe ni wa vidume mbadala hata ukiambiwa uchangie 0% bado utarukaruka tuu

good morning to you.
Mnasahau kuwa mwanamke lazima apendeze, lazima caws na pesa ya saloon. Mwanamke akiwa rough nyinyi ndiyo wa kwanza kutafuta mchepuko
 
Mleta mada umeteleza. Hakuna mwanaume anayejitambua anayeweza kukwepa majukumu yake kama ana uwezo huo. Dunia imebadilika sana, kwa sasa Wanawake wengi tu wana Kazi nzuri na wanalipwa vizuri sawa na wanaume au hata zaidi. Sasa kama wewe na mumeo mna vipato vizuri na amekuomba mchango wako ili kusukuma familia na nyingine ziende kwenye maendeleo shida iko wapi? Hii tabia ya kichoyo ya kutaka mwanaume akufanyie kila kitu wakati majukumu ya nyumbani anayafanya house girl sio nzuri hata kidogo. Kumbe maisha ni ya wawili, kama yeye ndo maisha anayoyataka kwanini usiende nae na umsupport?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake akili zao anajua aliewaumba tu. Wao haki sawa iko kwenye mambo mengine ila sio kwenye hela.

Kama huchangii chochote ya nini ufanye kazi, kaa nyumbani mume wako atahudumia kila kitu.
Ukiwa kama baba wa nyumba unatakiwa ujue mahitaji ya familia pesa yetu ni ya kuongezea pale inapohitajika lakini isitegemewe
 
Back
Top Bottom