Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

Sky, kwa nini basi wote tuamke asubuhi, tuwaache watoto wadogo kabisa(imagine after three months mama anamuacha kichanga home anaenda kazini), twende kazini, turudi saa mbili usiku, watoto hawatujui vizuri coz tunatafuta pesa.

Then kipato cha mmoja kiwe "optional" kutumika? Hivi, what's the point you waking up at 0500hrs, coming back home at 2200hrs if you are stingy to your own family and can't share your income?

Nilidhani point ya wote kuamka saa 11 na kurudi saa nne ni kutafuta pesa kwa ajili ya familia. Sasa kama mmoja anaona kipato chake sio cha familia, anaitwaje family member? Na kwa nini aamke saa11, angekaa tu home ingekuwa busara zaidi.

Mkuu Una akili Sana!
 
Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.

Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?

Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
Siku zote naamini mwanamke aliumbwa ili awe msaidizi wangu (refer book of genesis)!

Mimi kama mwanaume nitafanya wajibu wangu wa kuprovide chakula cha familia yangu pia nitailinda familia yangu kwa hali na mali!!

Sasa mwanamke kama msaidizi wangu nitamruhusu alete chakula only nikiwa sina uwezo huo either nikiwa mgonjwa au nikiwa na matatizo mengine yasiyozuilika otherwise mwanamke hawezi fanya majukumu yangu!!
 
You said it all thanks mkuu
 
Nakubaliana na mwanaume kusimamia show. Ila naomba niulize swali Sky.

Hivi uanaume ni nini? Ni kuhudumia familia/mwanamke?

Je, mwanamke akihudumia familia 100% naye ni mwanaume? Je, mwanaume asipomhudumia mwanamke uanaume unakwisha?

Japo swali sio langu. Ila naomba ujiulize kwanini mungu alikuumba wewe kwanza alafu kupitia ubavu wako ndio akaumbwa mwanamke?? Kwanini hakumuumba mwanamke then mwanaume afwate??

Mwanamke alipewa jukumu la kuzaa kwa uchungu, je wewe kama mwanaume unajua ulipewa jukumu gani?
 
Kwa mantiki hiyo mtu wa kiume asipohudumia mwanamke wake atadisqualify kuwa mwanaume kwasababu mwanaume ni kuhudumia mwanamke.

(Fikiria kwa ambao hawaamini maandiko pia).

Swali langu halikuwa na maana ya kukataa mwanaume kuwajibika katika familia. Nilitaka kujua maana ya uanaume maana humu huwa nakutana na tafsiri nyingi saana mzee.
 
Mkuu ni lazima tukubaliane kwamba mimi naongolea mke na sio mwanamke!! Mwanamke anaweza asiwe mke mkuu!!

Achilia mbali bible, ila mwanaume ni lazima uwajibike kwa mke/ familia yako hasa katika angle ya ku provide!!

And yes, kuprovide food for your family ni moja ya indicators za uanaume!!

Wewe ulikua na mawazo gani mkuu?
 
Genesis 3:17-19
Cursed is on the ground because of you through painful toil you will eat food from it all the days of your life. It will produce thorns and thistles for you and you will eat the plants of the field. By the sweat of your body you will eat your food until you return to the ground since from it you were taken for dust you are and dust you will return.
 
Mkuu ni lazima tukubaliane kwamba mimi naongolea mke na sio mwanamke!! Mwanamke anaweza asiwe mke mkuu!!

Achilia mbali bible, ila mwanaume ni lazima uwajibike kwa mke/ familia yako hasa katika angle ya ku provide!!

And yes, kuprovide food for your family ni moja ya indicators za uanaume!!

Wewe ulikua na mawazo gani mkuu?
Kwa hiyo mwanaume anayeishi mwenyewe pasipo mwanamke wa kumhudumia huyu atakuwa sio mwanaume kamili maana kakosa indicator ya kuhudumia sio.

Kwangu , mwanaume ni mwanaume.
 
Mwanaume anaposhindwa kuprovide hata nguvu ya kutoa ma'am uzi ndani ya nyumba inapungua.
 
Huko hatujafika lakini ineandikwa kuwa mwanaume atamwacha baba yake na mama yake nae ataambayana na mkewe
 
Hata hiyo 50% tunawaonea tu, jukumu la kutunza na kuhudumia familia ni la mwanaume. Biblia ikaandikwa utakula kwa jasho...wife ana kazi lakini sitegemei kumpa jukumu la familia.

hakika wanaume halisi bado wapo hapa duniani! kuna nwanaume anakupa jukumu had unaogopa kujiita umeolewa jaman! mume anakutundika ada nzima ya mtoto!kha hv tumeolewa au KUJIOA! hongera saana mwanaume wewe!

mwanaume akitimiza mahitaj yake automatic mwanamke anaejielewa hatasita kukusaidia nmajukumu mengn yaan inakuja tu automatic!siwez shindwa kulipa transport za watoto hata kidg jaman! maana unajua kabsa mume ananifanyia haa kwasabb m mkewe!..huwez shindwa wewe mwanamke unaejitambua kununua kilo 50 za mchele ukaleta home! khaaaaaaaa! wanaboa sana desgn hii kwakweli!
 
Mwanaume anaposhindwa kuprovide hata nguvu ya kutoa ma'am uzi ndani ya nyumba inapungua.
Uko sahihi. Ila kuna time unakuta uko hoi mambo yako yamekwama hapa lazima mama watoto atoe pesa (kama anakazi lakin) kama msaidizi wangu!!

Mambo yakikaa sawa nitarudi kwenye jukumu langu soon!!

Ndio maana hata rais akiwa hayupo basi anayechukua majukua majumu ni vice!! Its normal!! Rais akirudi vice anakaa pembeni!!

Lakini hoja bado itabaki mezani je kipato cha mke kitafanya nini?? Hapa ni rahisi, kuna majukumu na miradi mingine pesa yake inaweza elekezwa huko!!

Na kama mwanaume naweza mpangia mke cha kufanya na mshahara wake sio kwa manufaa yangu ila manufaa ya familia kwa ujumla!!

Na sio kwamba atatumia 800k ya mshahara kusuka nywele!! Big NO!

Ila all in all itabaki kuwa maelewano yenu kama me na ke!!
 
hakika wanaume halisi bado wapo hapa duniani! kuna nwanaume anakupa jukumu had unaogopa kujiita umeolewa jaman! mume anakutundika ada nzima ya mtoto!kha hv tumeolewa au KUJIOA! hongera saana mwanaume wewe!

mwanaume akitimiza mahitaj yake automatic mwanamke anaejielewa hatasita kukusaidia nmajukumu mengn yaan inakuja tu automatic!siwez shindwa kulipa transport za watoto hata kidg jaman! maana unajua kabsa mume ananifanyia haa kwasabb m mkewe!..huwez shindwa wewe mwanamke unaejitambua kununua kilo 50 za mchele ukaleta home! khaaaaaaaa! wanaboa sana desgn hii kwakweli!

Mungu aibariki na kuilinda familia yako.
 
Kwani ham juu kwanini tukichelewa kuolewa tunakesha mskanisani kuomba?
 
Back
Top Bottom