Mwanaume anaposhindwa kuprovide hata nguvu ya kutoa ma'am uzi ndani ya nyumba inapungua.
Mwanzo wa depression na wengine wanaishi a kuwa walevi. Wewe provide uone mke wako atakuaga hata safari ya kwanza kununua wanja na kurudiUnajua unagonga mlemle kama Biblia inavyosema, kuna mstari unaeleza akopae anakua mtumwa wa mkopeshaji..inamaana hawezi kuwa na sauti au maamuzi huru.
Nafikiri hiyo imeshuka hata kwenye familia. Mume ukishindwa kusimama kwenye nafasi yako hauwezi kumudu sehem ya maamuzi mengine, utaishia kuwa mkali tu..utagomba na kununa hata kwa vitu visivyo na msingi.
Unajua unagonga mlemle kama Biblia inavyosema, kuna mstari unaeleza akopae anakua mtumwa wa mkopeshaji..inamaana hawezi kuwa na sauti au maamuzi huru.

Mimi nna mke ujue na anafanya kazi serikalini kwenye nafasi nzuri tu na ana mshahara si haba, ila pesa zote za mahitaji ya ndani na kuendea saloon ananiomba wakati mimi siko vizuri kivile, sasa sielewi pesa zake ye huwa za kazi gani. Ukimuuliza anakwambia mara ohh namsomesha mdogo wangu, mara nawasaidia wazazi wakati wazazi wako vizuri tu. Nyie wanawake ni majanga kwakweliTuna top up budget kama haijakamilika
Mwanzo wa depression na wengine wanaishi a kuwa walevi. Wewe provide uone mke wako atakuaga hata safari ya kwanza kununua wanja na kurudi
Yaani la 15,000 halikutoshi?tunawanunulia nyie nguo zenu mvae mpendeze muonekane smart,
tunanunua nguo za watotot wetu,mama anaejali lazima atafanya haya,
tunapendezesha nyumba zetu kununua mapazia na vyombo mbali mbaliI(mwanamke nyumba)
wenye mapenzi na vyombo vya ndan pesa zetu hupotea hapa
tunajikumbuka na sie kujivisha !hamkawii kutunulilia tenge la 15000/linalochujaaa na huku kuna matenge ya haja ya bei nzuri tu,
saloon kila week!
bado mashemeji na madogo wako wa vyuo hawajakupiga panga!
Mimi nna mke ujue na anafanya kazi serikalini kwenye nafasi nzuri tu na ana mshahara si haba, ila pesa zote za mahitaji ya ndani na kuendea saloon ananiomba wakati mimi siko vizuri kivile, sasa sielewi pesa zake ye huwa za kazi gani. Ukimuuliza anakwambia mara ohh namsomesha mdogo wangu, mara nawasaidia wazazi wakati wazazi wako vizuri tu. Nyie wanawake ni majanga kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya pesa na utu kwako wewe kipi ni cha kwanza
Na pia kati ya pesa na neno la Mungu kipi kwako ni cha kwanza
Unajua unagonga mlemle kama Biblia inavyosema, kuna mstari unaeleza akopae anakua mtumwa wa mkopeshaji..inamaana hawezi kuwa na sauti au maamuzi huru.
Nafikiri hiyo imeshuka hata kwenye familia. Mume ukishindwa kusimama kwenye nafasi yako hauwezi kumudu sehem ya maamuzi mengine, utaishia kuwa mkali tu..utagomba na kununa hata kwa vitu visivyo na msingi.
Kati ya UTU na PESA kwako wewe kipi ni cha kwanza?sasa tena masuala ya Mungu yanaingiaje kwenye kukamilisha majukumu mkuu!yaan ushindwe kunitimizia mahitaj uanze kutafta sababu za dini tena !au sijakuelewa
Mwanzo wa depression na wengine wanaishi a kuwa walevi. Wewe provide uone mke wako atakuaga hata safari ya kwanza kununua wanja na kurudi
Kati ya UTU na PESA kwako wewe kipi ni cha kwanza?
Nijibu kwanza hii
Hata kwa wakwe pia tunapeleka tena kwa jina la mume wakati mwenyewe wala hajuiAnakufanyia vimambo kama kukununulia nguo zako, wakati mwingine kama kuna vitu vilipungua unakuta ameshanunua hata kama huwa inajulikana unanunua wewe..ukitimiza wajibu wako, mke anajitahidi kuonyesha na yeye anaweza kutoa mchako kama msaada wa ziada.
Sasa pesa uipeleke kwa mchepuko alafu utegemee heshima nyumbani? Akigoma kutoa hata kumi utamlaumu? Na sio jukumu lake kwanza kuhudumia familia.