[/QUOTE]Hivi kama mwanamke ni pambo la nyumba mbona kina Wema,Wolper,Gigi money hawaolewi na ni mapambo haswaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Hizi akili zenu za kutaka tuwahudumie kila kitu na kitandani tuwaridhishe pia hizo ndoa mtakua mnazisikia tu kwa wenzenu
[QUOTE="Sky Eclat, post: 22320009, member: 106478"
mwanamke ni pambo la nyumba akipendeza hata wewe roho yako inaridhika. Mwanaume anaejali majukumu yake unampa heshima kama uliyokuwa unampa baba yako ukiwa bado kigoli nyumbani kwenu
I believe in Christ,,, that only.....am victim wa nyie na mambo yenu hayo...na wewe umejuaje kuna wanawake wanapenda kwenda kwa waganga km na ww sio muumini?
[/QUOTE]Hivi kama mwanamke ni pambo la nyumba mbona kina Wema,Wolper,Gigi money hawaolewi na ni mapambo haswaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hizi akili zenu za kutaka tuwahudumie kila kitu na kitandani tuwaridhishe pia hizo ndoa mtakua mnazisikia tu kwa wenzenu
[QUOTE="Sky Eclat, post: 22320009, member: 106478"
mwanamke ni pambo la nyumba akipendeza hata wewe roho yako inaridhika. Mwanaume anaejali majukumu yake unampa heshima kama uliyokuwa unampa baba yako ukiwa bado kigoli nyumbani kwenu
Tatizo sie wanaume mipango ya kando inatugharimu na kusahau majukumu ya msingi nyumbani.
I believe in Christ,,, that only.....am victim wa nyie na mambo yenu hayo...
Tena tambazimwanaume anayetegemea hela ya mwanamke ni jipu
Kama ilivyo mwanaume kutaka 50/50!ahahahaha tambaz baya sana aic!
Mungu azidi kukubariki!Mi natoa 100% kama mwanaume.Naamini Mimi ni provider ukiona mwanaume anakwepa majukumu nakuwa na Shaka na unaume wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengi tu!
kuna asilimia kubwa inayoonesha katika andiko lako kua wewe Hujaolewa na hujui siri ya NdoaNi pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.
Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?
Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
Mpaka mwisho wa dunia mwanamke hata uumpe nini bado atalalamika tu na hataridhika, wewe fanya ya uwezo wako na majukumu yako, akimegwa nje hiyo juu yake, ukisikia bye bye usiposikia pole, ila za mwizi 40, tujiamini wanaume...Ndo maana wahenga wanasema kuwa hamjui wanawake mnachokihitaji. kama mapenzi ya kweli ni mwanaume kutoa hela nyingi basi naamini kuwa mkiendelea kutukanwa, kudharauliwa, kutumiwa hovyo kingono kaeni kimya maana mnataka hela iwe inakohoa, roho mbaya ya mwanaume huanzia pale anapoombwa hela sana as if yeye ndo aloziunda. haina noma ngoja tuziafute then tuendelee kuwakula tu mpaka tuchoke maana hela ni yetu, then hatutaki nyuzi humu za kulalamika lalamika
Huyo mmeo anafanya kwa jinsi ulivyo. Hongera kwa kumpata mme saizi yako, kwa nini unalalamika humu?Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.