nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,815
- 4,792
duh...eti ''Afu hivi viseme" kweli mshatuchokaMuumba anaomba 10%
Afu hivi viseme 50%, haipo hiyo
duh...eti ''Afu hivi viseme" kweli mshatuchokaMuumba anaomba 10%
Afu hivi viseme 50%, haipo hiyo
unajua unaweza sema unanikomoa ila me ndiyo napenda .. we tafuta hela tuNdo maana wahenga wanasema kuwa hamjui wanawake mnachokihitaji. kama mapenzi ya kweli ni mwanaume kutoa hela nyingi basi naamini kuwa mkiendelea kutukanwa, kudharauliwa, kutumiwa hovyo kingono kaeni kimya maana mnataka hela iwe inakohoa, roho mbaya ya mwanaume huanzia pale anapoombwa hela sana as if yeye ndo aloziunda. haina noma ngoja tuziafute then tuendelee kuwakula tu mpaka tuchoke maana hela ni yetu, then hatutaki nyuzi humu za kulalamika lalamika
Mungu anakuona ujue..😀😀😀😀
Kuwa mstaarab kama huez coment kistaarab acha....na sio lazima kukoment....Haya kaliwe tigo jisanja
sijakariri mama upepo!! ni facts........na sio wote.....ila wengi mnaenda kwa babu....tena sana,,,tatizo ni mnaoshare nao.....mmejaliwa silaha ya kuongea,,,,
MPAKA hapo umenielewa...thanks....mie toka nazaliwa sijawah sikia ndg au wazaz wameenda kwa waganga! alafu mie nn shida moja yaan siku itokee nimeenda kwa mganga jaman nitakuwa nacheka had machozi!sijui kwann nawaona km comedian! binafs mie sijawah ht fikiria niende kwa mganga!kufanya nn kwanza! aahahahahahahahahahahahh!
april nilipata ajali..nikaumia ! akaja rafk angu akaniambia hii ajali ina walakini! ahaha na huku anajua kbs chanzo cha ajali kilikua break zilifeli na barbra ilikuabmbv sana !yan ten akawa anaongea anasikitika sana sana !nilicheka sana! mie sijawah amini waganga! na ninavyopenda kucheka atanifukuza mara 1!
MPAKA hapo umenielewa...thanks....
Hahahaaaa!!! Si umuulize pesa yake inakwenda wapi kama unaitaka.na hapo ndo mnapo haribu wadada unakuta mwanaume unahenyeka kuendesha familia then mkeo ana kaz kila siku unaona anabadilisha mitindo ya nywele tu hela yake huioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa!! Ndio uanaume huo.Wanaume tumeumbwa matesoo matesoo kuhangainga![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Amen!Hata hiyo 50% tunawaonea tu, jukumu la kutunza na kuhudumia familia ni la mwanaume. Biblia ikaandikwa utakula kwa jasho...wife ana kazi lakini sitegemei kumpa jukumu la familia.
Mwanaume kichwa cha familiana hapo ndo mnapo haribu wadada unakuta mwanaume unahenyeka kuendesha familia then mkeo ana kaz kila siku unaona anabadilisha mitindo ya nywele tu hela yake huioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkeo ana raha sana kama ulichokiandika hapa ndicho kinachofanyika huko dah!!!!.....Hata hiyo 50% tunawaonea tu, jukumu la kutunza na kuhudumia familia ni la mwanaume. Biblia ikaandikwa utakula kwa jasho...wife ana kazi lakini sitegemei kumpa jukumu la familia.
Nijuavyo mimi majukumu ya familia huwa ni ya mwanaume ila mwanamke anaweza kuyafanya kwa kupenda yeye mwenyewe siyo kulazimishwa Me too engine ya moyo wanguNi pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule bafuni zifuliwe.
Kama mke mambo yake yake yakienda vibaya si unamuweka kwenye hatari ya kupata kidume cha kumpa ile 50% ambayo unaitegemea?
Kama unataka kuweka heshima ya ndoa ndani jitume kama mwanaume kwanza pesa yetu ni ya chumvi na mchuzi mix.
Mkeo ana raha sana kama ulichokiandika hapa ndicho kinachofanyika huko dah!!!!.....
Unastahili kuitwa mwanaume hongera mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna makandokando yangu ila kwenye hilo namshukuru Mungu ameniwezesha.
Toka nilipobadili tabia kuchukua majukumu yote kwa ukaribu, hata amani ndani ya nyumba unaiona. Ndoa inafuraha, wife ana amani japo tunaonana weekend tu.
Ukimjali mwanamke na kutatua mahitaji yake, lazima aonyeshe ushirikiano..na hapo ndio furaha ya familia inapoanzia.
Tatizo sie wanaume mipango ya kando inatugharimu na kusahau majukumu ya msingi nyumbani.