Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

Kesi yake ni tofauti kwakuwa last time 'alipotea' kwa muda mrefu na this time imetokea hivyo tena!
Kisheria mtu anatangazwa kupotea baada ya kutoonekana kwake, kwa jamaa zake ama marafiki baada ya masaa 72 kupita bila taarifa yoyote
Media nazo kweli wamesomea, wakiamua kuuuza Habari. The guy "hajapotea", ni hajarudi nyumbani and the wife is used to it. Shida ni nyie na ma camera yenu mwenzenu ashajizoelea hayo maisha! Yuko huko anakula kuku kwa mrija na pisi kali mke atulie alee watoto aachane na media au aachane na huyo mwanaume, kusema kwenye media haitombadilisha. Kesi za wanaume wa hivi ni nyingi me hata sioni habari hapa.
 
Kijana akifikisha 18yrs aachwe ajifunze ulimwengu mwingine.
Hii tabia yakufungia vijana mpaka at the age of 35yrs siku ukimuachia akikutana na akina Ashura na kupewa ndogo matokeo yake ndio haya.
 
Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi.

Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai?

Mi nasema mtafuteni mshana mganga wetu sisi Wana JF atawasaidia.
Hizo zote ni athari za Marehemu Mama Lwakatare kudhulumu maskini, wajane na wenye shida kwa kujifanya Mchungaji. Mama Lwakatare hakuwa na upako lakini aliweza kufanganya mania ya watu wenye FRUSTRATIONS za maisha kwa kuwatoza sadaka huku akiwaahidi kuwaombea kwa Mungu. HAIWEZEKANI kabisa mtu mchafu kama Mama Lwakatare akuombee na Mungu amsikie, labda mungu wa Baaali.
Angalia sasa yeye mwenyewe kafa kiutaniutani wakati wa korona na kazikwa tu bila heshima na Mwanaye huyo DIWANI Muta anahangaika hivyo. Hivi inakuja kweli akilini mwako mtu ambaye ni mrithi wa St Mary's school, DIWANI wa Kawe na Mchungaji wa Mlima wa Moto akaishi na mateja wala unga? Mkimkuta mara hii mwambieni waachane na Hilo kabisa la kishetani alililoanzisha mama yake
 
Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi.

Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai?

Mi nasema mtafuteni mshana mganga wetu sisi Wana JF atawasaidia.
Hana mashetani wala nini, huyo kazuzuka tu na utelezi wa ukubwani
 
Back
Top Bottom