Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi.

Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai?

Mi nasema mtafuteni mshana mganga wetu sisi Wana JF atawasaidia.
Wala hakuna haja diwani yuko maeneo anakula bata kwa mrija hataki kelele na waswahel
 
Back
Top Bottom