kweli kabisaSURE. Nshoma byeeee.
Hivi mbona hao washindi wa BSS huwa hawafiki mbali?
kweli kabisa
duh naona familia ya nkwabi imemwagisha vumbi. bye bye
nsami outttttttttttttt
go hug a transfomer
Muhongo amekata li umeme lake aiseee..... update pls?
hadi sasa mambo yameenda vizuri, nafasi hiko wazi kwa washindi wangu
1. Walter Chilambo
2. Salma
3. Wababa
Ata matokeo yakija vinginevyo sitakuwa na wasiwasi.
mambo yameiva
watatu kutoka atakua wamama a.k.a wa dingi.
wababa hammuoniiiiiiiiiiiiiiii...????? mnatoa wenye uwezo LENYEWE MNALIACHA???? LINA NINI?? AH!