Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
Magumu haswaaaa.
nasubir kwa hamu
Magumu haswaaaa.
Hata mimi nawashangaa ujue.
nasubir kwa hamu
hadi sasa mambo yameenda vizuri, nafasi hiko wazi kwa washindi wangu
1. Walter Chilambo
2. Salma
3. Wababa
Ata matokeo yakija vinginevyo sitakuwa na wasiwasi.
Na hapa ndio patamu....Mwenye washabiki wengi wa kumpigia kura nyingi ndio mshindiNsami eeehh.
Kazi ipo jamani. WALTER, SALMA WABABA. Huhuhh. Sipati picha mieee.
Mtoeni naona chenga tu!
Lina na Amin robo saa kwa stage hawa watakua wamerudiana!
Lina na Amin robo saa kwa stage hawa watakua wamerudiana!
Na hapa ndio patamu....Mwenye washabiki wengi wa kumpigia kura nyingi ndio mshindi
Mambo haya mie sijipi presha za ushabiki kabisaaaa maana hawachelewi kuchakachua
Bora Simba na Yanga mchezaji anajituma mwenyewe na magoli nayaona
Inawezekana mazeeeee. Maana wimbo wao kama una kitu behind the scene.
Hivi pale waliotoka kuna mwenye uwezo kweli?wababa hammuoniiiiiiiiiiiiiiii...????? mnatoa wenye uwezo LENYEWE MNALIACHA???? LINA NINI?? AH!
Hivi pale waliotoka kuna mwenye uwezo kweli?
si bora huyo Wababa anajua hata kuisoma audiance?
Unaujua huu msemo "nguvu huna, pesa huna, hata mkwara?" Wababa angalau ana mkwara