mi wananiboa kurudia nyimbo, sio wabunifu kabisaaaaa
Halina mvuto tayari wengi naona wameingia kwa complimentary tickets tuHakuna jinsi mkuu ila mashindano yatakosa mvuto siku zijazo kama ilivyo kwa Miss Tanzania.
Wababa anaimba wimbo wa "premio gauo" naona anashaliwa sana kutunzwa hapa kukwaani. Anachanga na swaga za kiswahili hapa na kuteka ukumbi. Kwa hili hata mimi kaniokota.
Walter is soo relaxed...
Anaimba, hapigi kelele
No one at allWababa sijui kaleta roli la ndugu zake ukumbini km CCM? Wanampa mihelaaa.
But for me he is not an EPIQ
Walter is soo relaxed...
Anaimba, hapigi kelele
walter kipaji aisee
Walter 100%
No one at all
Dogo ni slow killer...watu ooh Wababa, ooh sijui nnulipotelea wapi
anaimba kwa kweli.