KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Yupo relaxed na anatuzwa mijihela na kukata ngebe za Wababa na maMC wanasndwa kumfagilia. Huu ni ushabiki wa wazi kabisa wa maMC.
Hata mimi nimeliona hilo.
Yupo relaxed na anatuzwa mijihela na kukata ngebe za Wababa na maMC wanasndwa kumfagilia. Huu ni ushabiki wa wazi kabisa wa maMC.
Walter metishaaaa!!
walter kipaji aisee
Dogo ni slow killer...watu ooh Wababa, ooh sijui nn
Kelele miingi
wababa cjaona k2 sijui wanamshangilia nin
ulipotelea wapi
anaimba kwa kweli.
ukute ni Isanga Family
At least Walter na Salma.
Kama upo makini ushindani mkali upo kwa Wababa na Walter. Ukiangalia ni kama Wababa alipangwa achukue kitita lakini Walter ametoa upinzani mkali mpaka kampeni zilizokuwa zimepangwa kugonga mwamba.
Kweli ila naona fainali haiko fair maana ushindani upo wazi tu.
Kuingiza watu wa5 halafu wanaoshindana kiukweli wa3
Hapa ndo tutajua kama maamuzi ni ya wapiga kura au ni ya Madam Ritha
he he he, tena wa pale Mwanjelwa.