Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Salma ni next level kw kweli. Wababa Vipi?

Wababa anapigiwa promo na Salma, lakini Master J anamponda Wababa kuwa kuna watu wanaimba zaidi yake lakini yeye sema kaaga kwao vizuri (kaoga maji ya mchele). Chief judge kama kawaida yake kampakulia pilau.
 
Walter kaingia kuimba wimbo wa Dogo Dito na mpaka hapo naona kafunika. Katunzwa 10,000.00 katika washiriki wote waliopanda mpaka saizi jukwaani.
 
Tatizo lipo kwenye aina ya walimu wanaokuwa nao kambini. Sijui kama wana voice coach? Watalaam wa muziki? n.k. Wanapokuwa kambini uwa wanafanya nini sijui?

Kwa nini hawajifunzi kwa Tusker Project Fame? Jamaa uwa wanachukua watalaamu wa muziki na sauti toka vyuo vikuu kuwafundisha washiriki.

thats not all buddy na kipaji kinatakiwa pia.....
 
Tatizo lipo kwenye aina ya walimu wanaokuwa nao kambini. Sijui kama wana voice coach? Watalaam wa muziki? n.k. Wanapokuwa kambini uwa wanafanya nini sijui?

Kwa nini hawajifunzi kwa Tusker Project Fame? Jamaa uwa wanachukua watalaamu wa muziki na sauti toka vyuo vikuu kuwafundisha washiriki.

wote waganga njaa tu....
Hivi hao wadhamini hawatoi masharti ya udhamini?
 
Wababa anapigiwa promo na Salma, lakini Master J anamponda Wababa kuwa kuna watu wanaimba zaidi yake lakini yeye sema kaaga kwao vizuri (kaoga maji ya mchele). Chief judge kama kawaida yake kampakulia pilau.

Niki mcompare na Water yaani walter yoko juu kwa kweli.
 
kenyan's wako mbali kwenye mambo mengi asee..... hawa jamaa hawako talented kabsaaaa......hawajui kuimba huo ndo ukweli

umesikia lean on me inavyoimbwa....? terrible...

Bongo Star Search yote ni failure, sijaona mtu akiimba, wanaigiza tu na sauti mbayaaa halafu majaji wanawasifiaaaaaa
 
Halafu hawa ma mc wananivuruga yani!!! Pumbaf saana.....
 
kiukweli wale ndugu zake Misoji binafsi sijaona kipaji kabisaaa
wameingia kwa ushabiki tu wa hao kina madam Rita
 
Hivi hawa majaji hawaoni aibu tangu mwanzo mpaka mwisho ndo wanaotoa hukumu tu ina maana wameshindwa hata kualika majaji wengine wapate jicho la pili na la tatu. Hivi wana judge nini wao waalimu tena wao majaji hivi vipimo vinavyotumika hapa vitatoa mshindi staa kwa viwango vya staa au kwa viwango vya Salama, Master J na Rita.?
 
watangazaji wako fake hadi inaudhi.

Afu naona matokeo yanapangwa, majaji wanateuaje hao top three?
 
kiukweli wale ndugu zake Misoji binafsi sijaona kipaji kabisaaa
wameingia kwa ushabiki tu wa hao kina madam Rita

Hayo ndio madudu ya Rita kwani upendeleo wa baadhi ya wasanii unafanya hii fani kupoteza mvuto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom