Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

wababa jamani anajua kuchagua nyimbo
hapa lama niko ukumbuni lazima ninyanyuke
seya
 
nachukia wanavyosema Wababa kasafisha nyota, wanamkata nguvu bana.
 
Wababa anaimba wimbo wa Seya, japokuwa mziki huo ni common lakini zile vuguru kama za awali sijaziona. Kama Walter ataimba vizuri saizi basi inaweza kuwa karata nzuri sana kwake.
 
Sio kura yangu...(Sijapiga hata moja)
Ila kwa mapenzi yangu I wish ashinde Salma
 
wababa ana mkwara... anajua kumiliki jukwaa, anachangamsha audiance
Ila kweli nahisi kama kaja na uswazi crew

Km wale wa JEI KEI na maroli eti?

Kweli ana mkwara si mchezo. Walter anashukuru kwa kipaji. Huyu kijana basi tuuu.
 
Wababa anaimba wimbo wa Seya, japokuwa mziki huo ni common lakini zile vuguru kama za awali sijaziona. Kama Walter ataimba vizuri saizi basi inaweza kuwa karata nzuri sana kwake.

Kaimba vizuri I see.
 
Judges, MCs wako biased....
wanatakiwa kujitahidi kuwa fair na kuzuia hisia
Ila Walter katishaaa
 
lakini maisha ndio yalivyo.
Sio waoote wanaojua saana vitu ndio wanafanikiwa saana.

Kufanikiwa ni teknik tu, naye anacheza na audience.

Ukweli ni kwamba hana uwezo wa kuimba wa washiriki wenzake lakini anajua kucheza na audince vyema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom