Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

no 1. Walter
2. Salma

hao wengine kwangu hovyo2 naona wanajaribu kuwabeba hawa wakina Nkwabi but hakuna kitu
 
Yaani huyu Nshoma ndio hamna kitu kabisaaa, yani hata nyimbo za kukopi tu anashindwa ataweza kuimba zake?
Kuna nyimbo ngapi kila mara anaurudia huohuo....
Atoke zake tu

chezea kupanga matokeo sio mchezo..
 
no 1. Walter
2. Salma

hao wengine kwangu hovyo2 naona wanajaribu kuwabeba hawa wakina Nkwabi but hakuna kitu

Watatu Wababa na hizo mbili wale ndugu wa familia moja kama watanzania watapiga kura kulingana na muono wangu.
 
Salma anaonyesha kipaji chake cha kuimba na kupiga gitaa. Anaimba wimbo wa Papa Wemba
 
Wababa anaimba wimbo wa "premio gauo" naona anashaliwa sana kutunzwa hapa kukwaani. Anachanga na swaga za kiswahili hapa na kuteka ukumbi. Kwa hili hata mimi kaniokota.
 
Hapo sasa,,, inaboa aisee,, hawa wanatufanya sisi kama wajinga flan hivi,, ila kuwa mshndi wa watu kama hawa wakina Salma na Walter ndo nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom