Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Shagala bagala tu. Master je naona kala cha arusha. Amemprovoke Rita.
 
mara ya kwanza walivyokuwa wakiadvertise i thought mwaka huu ungekuwa wa kirevolution zaidi kumbe.....pole zao zantel

Na kweli mkuu, na mwakani wameahidi kudhamini tena. Zawadi ya 50ml ni kubwa mno hivyo mshindi anatakiwa kuwa mshindi kweli badala ya ubabaishaji.
 
Nsami Nkwabi anaimba na msanii Barnabas wimbo wake wa "Wrong Number" Wote kwa pamoja hawajaimba vizuri sana japokuwa Barnabas ni wimbo wake.

Kweli hawakuimba vizuri. Salma na linex i see haka kz zanzi bar kanaimba jamani.
 
hii show haina viwango vya 5 years in the game....its like imeanza leo
 
Naona kuna tatizo la mike sana maana hii ni mara ya pili kwa mike kugoma na kubadilishwa.
 
Mike imemwangusha huyu mdada wa Zanzibar! Ila ni mkali...
 
hii show haina viwango vya 5 years in the game....its like imeanza leo

Tatizo lipo kwenye aina ya walimu wanaokuwa nao kambini. Sijui kama wana voice coach? Watalaam wa muziki? n.k. Wanapokuwa kambini uwa wanafanya nini sijui?

Kwa nini hawajifunzi kwa Tusker Project Fame? Jamaa uwa wanachukua watalaamu wa muziki na sauti toka vyuo vikuu kuwafundisha washiriki.
 
Wababa anaimba na Mwasiti, katika wasanii wote waliopanda jukwaani naona anaimba vizuri na kupata flavour ya muziki wa live hapa.
 
Ee Mungu muumba mbingu na nchi! Hiki ni kitu gani jamani? Pole zao waliolipa viingilio.. Officially the "Boringest" BSS ever!
 
Hmm af awa kama wameshamuandaa wababa,wanamsifia sana.
 
Nsami Nkwabi anaimba na msanii Barnabas wimbo wake wa "Wrong Number" Wote kwa pamoja hawajaimba vizuri sana japokuwa Barnabas ni wimbo wake.

Hawa wabongo flolo Kushindwa kuimba wimbo wake mwenyewe si kitu cha kushangaza ndio maana mimi huwa sishobokei kwenda kwenye Live bongofololo show zao, kwami nyie badala ya kuimbiwa kutokana na kulipa kiingilio chenu, matokeo yake mnakuwa mkielekezewa mic muimbe wenyewe. Inanikela hiyo mpaka bhaaaaaaaaaaaaaaaasi.
Muziki bhana Msondo,Vijana, nk. hawa wengine michosho tu.
 
Majaji inaonyesha wamekunguta kitu kidogo chenye OH hebu jaribu kuwasikiliza kwani sober imeondoka.
 
Tatizo lipo kwenye aina ya walimu wanaokuwa nao kambini. Sijui kama wana voice coach? Watalaam wa muziki? n.k. Wanapokuwa kambini uwa wanafanya nini sijui?

Kwa nini hawajifunzi kwa Tusker Project Fame? Jamaa uwa wanachukua watalaamu wa muziki na sauti toka vyuo vikuu kuwafundisha washiriki.

Cheap labour. Wataalamu wa muziki waliobobea wanahitaji fedha ndefu, sasa hawa unadhani watakuwa tayari kuwalipa hata kama wanazo?

Kweli wanapaswa kuiga tusker project fame.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom