Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

thats not all buddy na kipaji kinatakiwa pia.....

Ndio. Lakini kumbuka unaweza kuwa na kipaji lakini husifahamu kama unacho; na husielewe namna ya kukitumia.
Hapo ndipo walimu wa sauti na muziki wanapokuwa na umuhimu.
 
Hivi hawa majaji hawaoni aibu tangu mwanzo mpaka mwisho ndo wanaotoa hukumu tu ina maana wameshindwa hata kualika majaji wengine wapate jicho la pili na la tatu. Hivi wana judge nini wao waalimu tena wao majaji hivi vipimo vinavyotumika hapa vitatoa mshindi staa kwa viwango vya staa au kwa viwango vya Salama, Master J na Rita.?

Mkuu hiyo ni ajira wakiita majaji wengine wakiwafunika hawatapenda, wapo radhi wavurunde kwa sababu tu wao ndiyo waliotoa idea hii.
 
afu majaji wanatoaje washiriki wakati voting line bado ziko wazi??

Wizi mtupu, matokeo ya mezani haya.
 
Msechu ni next level na hata kama akiwepo leo atafunika mbaya na kuona jinsi jamaa alivyo na kipaji.

Kwli kabisa, wengine wote sijui waga wanaishia wapi kwakweli.

Unajua nashindwa kuelewa kabisa, misoji, haji, jumanne iddi?????? nakadhalika wengine.
 
Wasanii wanajitahd,ila naona mic zinasumbua. Linex kastukia hilo mapema.
 
Kwli kabisa, wengine wote sijui waga wanaishia wapi kwakweli.

Unajua nashindwa kuelewa kabisa, misoji, haji, jumanne iddi?????? nakadhalika wengine.

Haji nadhani yupo Twanga Pepeta angalau anaendeleza, Paschal ndiyo juzi juzi katoa album yake. Jumanne Iddy naona ndiyo kafulia kabisa, Misoji sijui anafanya nini mpaka saizi japokuwa leo nimemuona ukumbini.
 
Cheap labour. Wataalamu wa muziki waliobobea wanahitaji fedha ndefu, sasa hawa unadhani watakuwa tayari kuwalipa hata kama wanazo?

Kweli wanapaswa kuiga tusker project fame.
sasa hiyo pesa wamepewa ya nini??? hawa watu vipi?
 
Haji nadhani yupo Twanga Pepeta angalau anaendeleza, Paschal ndiyo juzi juzi katoa album yake. Jumanne Iddy naona ndiyo kafulia kabisa, Misoji sijui anafanya nini mpaka saizi japokuwa leo nimemuona ukumbini.

Okey, Chief Jaji km kweli aim yake ni kuinua vipaji, basi asingeishia hapa at least angefanya follow up kwa hawa watu wanaompa hiyo mifweza, i mean washiriki maana bila wao hakuna zantel kuona baada ya mashindano kwenye game inakuwaje.
 
Kwa kweli hilo huwa hawalishughulikii zaidi ya offer ya kurecord bure MJ Production halafu album yenyewe hata haihit!!!
 
Yaani huyu Nshoma ndio hamna kitu kabisaaa, yani hata nyimbo za kukopi tu anashindwa ataweza kuimba zake?
Kuna nyimbo ngapi kila mara anaurudia huohuo....
Atoke zake tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom