Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Kayumba Talented ana kila sifa ya mwanamziki

Anaweza kutawa jukwa
Ambacho ni kitu kigumu saana hawa kwa wasanii wakubwa
Kigezo et anaimba hit song ndo kina mpa makali si kweli coz hata walioimba wengne wameimba hit song
 
Tufikie hatua wabongo tuache kujudge mambo kutokana na ushabiki wa watu,tunapoteza vibaji kwa ushabiki maandazi wa miziki ya uswahilini
 
Tufikie hatua wabongo tuache kujudge mambo kutokana na ushabiki wa watu,tunapoteza vibaji kwa ushabiki maandazi wa miziki ya uswahilini

dats true mkuu ndo maana washindi wa kwanza huwa hawasurvive mda mrefu ukilinganisha na wanaokua wanayaaga mashindano
ki ukweli Nassib Fonabo yuko original na anakipaji i appreciate him salute kwake.
 
Kayumba hmn kitu, unavyomtabili ndivo anavokuja, habadiliki ata kdogo
 
Katika 5bora wa2 tu ndo wenye kibaji ambao wakikaa vizuri wanaitangaza nch yetu.Fonabo na Calvn hawa watu ni wakari tatizo wabongo ni ngumu kujua!
 
yaani chakushangaza fainali wanaingia malofa hii bss ya kijinga sana ndio maana wanapotea hawa majaji wanakuja na majina ya mfukoni kama mwenyekiti wa ccm bwana wanakera sana

Yani magumashiiii...tuuu
 
Back
Top Bottom