Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Acha kulalamika wewe
Ulimpigia kura unayempenda? Usikute hata sms huukutuma kabisa

Nani kakwambia walikuwa m
wanaangalia kura, mtu aki underperfom on the spot anatoka, kura ni ili waendelee kuingiza pesa tu, Judges walikuwa wanacontrol kila kitu.... Kura ni kwa Big Brother tu.
 
Nimeshangazwa Na Mc Wa BSS 2015 Bw.Sizya kuleta Ushabiki Wa Siasa wakati shughuli nzima ya kufanikisha shindano hilo limejumuisha watu tofauti tofauti Na wenye itikadi tofauti.Tunashauri BSS acheni kuingiza siasa.Sio kila kituko ni siasa.

Ulimi ulimteleza tu, kutokn na shughul aliyofanya yule bint akajikuta karopoka kwa furaha na kutamka yale maneno ila hakudhamiria..
 
Ulimi ulimteleza tu, kutokn na shughul aliyofanya yule bint akajikuta karopoka kwa furaha na kutamka yale maneno ila hakudhamiria..

Kweeli kabisa ndo maana salama akazima fasta ile sintofahamu
Na madamu rita kusema benchmark ndo inahusika kwa kila kitu siyo siasa
 
Fonabo...Angel...Friday...?

Aibu ni kuwa master J mtaalamu Wa mziki alikuwepo

Dosari ndogondogo tuzirekebishe...hongera Kayumba

Ila walikuwa right..kumbuka walishafanya kazi yao ya kuwachuja hadi wakapatikana sita..kumbuka walivyomsave Frida top 5...tatizo ni wapiga kura wa kibongo wapo kishabiki zaidi bila ya kuangalia kipaji...wote walikuwa wakaliii hata angeshinda Dogo wa atown bado tungelalamika....
Nimewasifu majaji wamejitahidi toa maoni ya wapiga kura...sisi wapiga kura ndio wa kubadilika..thus why hata kwenye kili watu wanachukua tuzo wasizostahili kisa ni ushabiki
 
Sawa lakini una fikiri tusker project fame matokeo yangekua hayo hayo?kifupi Kayumba sio m/muziki ni msanii kama msaga sumu

Hao wengine ni wanamuzk na wasanii...utakuja kuona mbele
 
Kwa Masikitiko Makubwa Sana Sasa Nina Takriban Miezi Mitatu Bosi Wangu Hajanilipa MSHAHARA Wangu Na Kila Siku Ananipiga Sound Kuwa Mambo Bado Hayajakaa Vizuri. Cha Kushangaza Leo Usiku Huu Mkali Wa Saa 7 Wakati Mwanamuziki Christian Bella Akitumbuiza Ktk BSS Finals KUDADADEKI Zake Nimemwona Bosi Wangu Akimtunza Bella Kwa Haraka Haraka Kama Tsh Laki 5 Hivi Wakati Mimi Namdai Balance Yangu Ya Mshahara Tsh 150,000/= Kwani Tayari Nimeshachukua Advance Yangu Ya Mshahara Ya Tsh 150,000/=.

Hakika Wewe Bosi Wangu KUKIKUCHA Salama Nikija Ofisini TUTAHESHIMIANA au La Sivyo Muajiri Huyo Bella Wako Aje Afanye Hii Kazi Ninayoifanya. Kumbe Mwenyezi Mungu Alikuwa Na Makusudi Yake Nisilale Leo Mapema Ili Tu Anionyeshe Jinsi Gani Unavyoninyanyasa Na Kunidanganya. Akhsante Mungu.

Bosi wako ni POPOMA
 
Haaaaaaaa!Kumbe popoma na makelele yako yote humu unalipwa laki 3?
Umenitia aibu sana mimi kama dada yako.
Sasa siku nikikuomba tutoke out kwa pesa mbuzi hiyo tutaenda wapi jamani?
Nikisema twende hata steers kula baga si utalia?
 
Unataka Kula Baga Dada Yangu? Uko Wapi Nikuletee Baga Yangu Tena Iliyonona Ikiwa Na Baga Zake Ndogo Mbili Za Nyongeza Zilizoshikamana. Nilikuwa Natafuta Kweli Wa Kumpa Baga Zangu Hizi Tatu Moja Kubwa Na Nyenzake Ndogo Mbili Hatimaye Umejitokeza. Tukutane Wapi " Nikubagamue "?
 
Da kweli madalali wana pesa hasa hawa wa azam.ndo maana magari yetu tunauza kwa hasara ivi kimo*2 atakuwa keshajenga kweli maana niliona ametuza kama thamani ya mifuko 20 ya cement if not more
 
Unataka Kula Baga Dada Yangu? Uko Wapi Nikuletee Baga Yangu Tena Iliyonona Ikiwa Na Baga Zake Ndogo Mbili Za Nyongeza Zilizoshikamana. Nilikuwa Natafuta Kweli Wa Kumpa Baga Zangu Hizi Tatu Moja Kubwa Na Nyenzake Ndogo Mbili Hatimaye Umejitokeza. Tukutane Wapi " Nikubagamue "?

Hahahahahaaaa popoma wewe ni chizi sana.
Umenikomesha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom