Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Sio bure una matatizo, Hiv Nasibu au Frida unaweza walinganisha na huyo St. Kayumba...?

daaah, tatzo cjui kiwango cha uelewa wako na upembuz wa mambo so kulumbana na wewe ntashindwa mkuu!! ngoja nkuache ulivyo!
 
Kumbe unataka kulumbana..? Kawatafute accused wenzako ulumbane nao
 
fainal ingejuwa ya frida na fonabo, bt kayumba mmhh!! coz kama unauujua mzki huwez kumcompare hata na frida, maon yngu lkn wadau
 
Kwa Masikitiko Makubwa Sana Sasa Nina Takriban Miezi Mitatu Bosi Wangu Hajanilipa MSHAHARA Wangu Na Kila Siku Ananipiga Sound Kuwa Mambo Bado Hayajakaa Vizuri. Cha Kushangaza Leo Usiku Huu Mkali Wa Saa 7 Wakati Mwanamuziki Christian Bella Akitumbuiza Ktk BSS Finals KUDADADEKI Zake Nimemwona Bosi Wangu Akimtunza Bella Kwa Haraka Haraka Kama Tsh Laki 5 Hivi Wakati Mimi Namdai Balance Yangu Ya Mshahara Tsh 150,000/= Kwani Tayari Nimeshachukua Advance Yangu Ya Mshahara Ya Tsh 150,000/=.

Hakika Wewe Bosi Wangu KUKIKUCHA Salama Nikija Ofisini TUTAHESHIMIANA au La Sivyo Muajiri Huyo Bella Wako Aje Afanye Hii Kazi Ninayoifanya. Kumbe Mwenyezi Mungu Alikuwa Na Makusudi Yake Nisilale Leo Mapema Ili Tu Anionyeshe Jinsi Gani Unavyoninyanyasa Na Kunidanganya. Akhsante Mungu.

Kumbe ndiyo maana!!
 
fainal ingejuwa ya frida na fonabo, bt kayumba mmhh!! coz kama unauujua mzki huwez kumcompare hata na frida, maon yngu lkn wadau
Nakubaliana na wewe mkuu, na hilo liko wazi kabisa kwa yeyote anaetumia vizuri ubongo wake...
 
dats true mkuu ndo maana washindi wa kwanza huwa hawasurvive mda mrefu ukilinganisha na wanaokua wanayaaga mashindano
ki ukweli Nassib Fonabo yuko original na anakipaji i appreciate him salute kwake.

Bila kuandalia nyimbo wanzoimba..fanabo ni msanii mkali sana..sikiza kwa makini sauti yake na jinsi anavyoichezea..ni aina ya sauti ambayo si rahisi ukichoka..
Ila hata kayumba naye ni mkali tena sana na ni mjanja katika uchaguzi wa nyimbo...fanbo nashindwa soma hadhira inataka nn...
 
Kwa Masikitiko Makubwa Sana Sasa Nina Takriban Miezi Mitatu Bosi Wangu Hajanilipa MSHAHARA Wangu Na Kila Siku Ananipiga Sound Kuwa Mambo Bado Hayajakaa Vizuri. Cha Kushangaza Leo Usiku Huu Mkali Wa Saa 7 Wakati Mwanamuziki Christian Bella Akitumbuiza Ktk BSS Finals KUDADADEKI Zake Nimemwona Bosi Wangu Akimtunza Bella Kwa Haraka Haraka Kama Tsh Laki 5 Hivi Wakati Mimi Namdai Balance Yangu Ya Mshahara Tsh 150,000/= Kwani Tayari Nimeshachukua Advance Yangu Ya Mshahara Ya Tsh 150,000/=.

Hakika Wewe Bosi Wangu KUKIKUCHA Salama Nikija Ofisini TUTAHESHIMIANA au La Sivyo Muajiri Huyo Bella Wako Aje Afanye Hii Kazi Ninayoifanya. Kumbe Mwenyezi Mungu Alikuwa Na Makusudi Yake Nisilale Leo Mapema Ili Tu Anionyeshe Jinsi Gani Unavyoninyanyasa Na Kunidanganya. Akhsante Mungu.

Hahaha!
 
Fonabo...Angel...Friday...?

Aibu ni kuwa master J mtaalamu Wa mziki alikuwepo

Dosari ndogondogo tuzirekebishe...hongera Kayumba
 
Acha kulalamika wewe
Ulimpigia kura unayempenda? Usikute hata sms huukutuma kabisa
 
Back
Top Bottom