Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Kwa mbali naona kama Frida atapitishwa Mshindi..(style ya magufuri alivyopita )
 
Akishinda kayumba, itakuwa kama ilivyokuwa kwa jumanne idi,.. Tz kweli hatujui watu creative, tuko just kwa watu wanaoimba nyimbo zile zinazopendwa na watu..!!!.. ni maoni yangu tu
 
hahaha ila mpaka leo magufuli kupita mpaka leo naona ni kama ndoto ya kutisha nasubiri kukuche

yaan ZALI
 
Akishinda kayumba, itakuwa kama ilivyokuwa kwa jumanne idi,.. Tz kweli hatujui watu creative, tuko just kwa watu wanaoimba nyimbo zile zinazopendwa na watu..!!!.. ni maoni yangu tu
yap

watu wangekumbuka ule usiku j4 mh
 
Akishinda kayumba, itakuwa kama ilivyokuwa kwa jumanne idi,.. Tz kweli hatujui watu creative, tuko just kwa watu wanaoimba nyimbo zile zinazopendwa na watu..!!!.. ni maoni yangu tu
msikilize jaman fonabo duh
kama sauti imechujwa
 
Fanabo anatunga, anapanga muziki, anapiga na anaimba. Kweli yupo vizuri
 
Have been his fun since day 1,he rocks jhoo.!!
 
Back
Top Bottom