Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Akishindwa dah basi tu

Kayumba anapewa nafasi kubwa ya ushindi. anyway there is no transparency katika hili maana hata idadi ya wanaopiga kura mashabiki hatuifahamu.

Tunasubiri kutangaziwa mshindi tu whether kashinda kihalali or NOT!
 
Kwa Masikitiko Makubwa Sana Sasa Nina Takriban Miezi Mitatu Bosi Wangu Hajanilipa MSHAHARA Wangu Na Kila Siku Ananipiga Sound Kuwa Mambo Bado Hayajakaa Vizuri. Cha Kushangaza Leo Usiku Huu Mkali Wa Saa 7 Wakati Mwanamuziki Christian Bella Akitumbuiza Ktk BSS Finals KUDADADEKI Zake Nimemwona Bosi Wangu Akimtunza Bella Kwa Haraka Haraka Kama Tsh Laki 5 Hivi Wakati Mimi Namdai Balance Yangu Ya Mshahara Tsh 150,000/= Kwani Tayari Nimeshachukua Advance Yangu Ya Mshahara Ya Tsh 150,000/=.

Hakika Wewe Bosi Wangu KUKIKUCHA Salama Nikija Ofisini TUTAHESHIMIANA au La Sivyo Muajiri Huyo Bella Wako Aje Afanye Hii Kazi Ninayoifanya. Kumbe Mwenyezi Mungu Alikuwa Na Makusudi Yake Nisilale Leo Mapema Ili Tu Anionyeshe Jinsi Gani Unavyoninyanyasa Na Kunidanganya. Akhsante Mungu.
 
Kayumba anapewa nafasi kubwa ya ushindi. anyway there is no transparency katika hili maana hata idadi ya wanaopiga kura mashabiki hatuifahamu.

Tunasubiri kutangaziwa mshindi tu whether kashinda kihalali or NOT!

Dalili na ushabiki wa majaji ni hatari sana waige hata kwa nchi zingine siku za fainali huwa hawana mchango wanatulia tu
 
Dalili na ushabiki wa majaji ni hatari sana waige hata kwa nchi zingine siku za fainali huwa hawana mchango wanatulia tu
Well said mkuu, ushabiki wa waziwazi ni hatari sana. Hii inatengeneza loop ya malalamiko baada ya mshindi kutangazwa na kupoteza imani kwa ambao wangependa kushiriki mashindano haya kwa siku za usoni
 
Dalili na ushabiki wa majaji ni hatari sana waige hata kwa nchi zingine siku za fainali huwa hawana mchango wanatulia tu

Mfano mzuri ni Shindano la Sakata Mashariki,.. siku ya final majaji hawakusema kitu walikua kimya na kutoa comments thru maandishi ambazo zilisomwa at the end
 
Back
Top Bottom