Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

Daah Mashindano ya Hovyoo

Majaji wa Hovyoo

mshindi wa Hovyoo

Upendeleo wazi wazi hakuna transparency kuanzia kwenye upigaji Kura mpaka kutangazwa mshindi na Majaji wako bias
 
Kayumba anatabasamu kama JK......by the way wakati anaeleza historia yake alisema baba yake anasitiriwa na mtu hivo angejenga walau wapate pa kuishi na baba yake. Mungu mkubwa. Pipooooooz
 
Daah Mashindano ya Hovyoo

Majaji wa Hovyoo

mshindi wa Hovyoo

Upendeleo wazi wazi hakuna transparency kuanzia kwenye upigaji Kura mpaka kutangazwa mshindi na Majaji wako bias

watu wengine ubishi ni laana yenu..sasa pale upendeleo uko wap!? transparency ipi ulitaka? wakat mwingne mue mna-reason cyo kuropoka tu..jaji yupi kakosea na kakosea nn? acha majungu ww
 
watu wengine ubishi ni laana yenu..sasa pale upendeleo uko wap!? transparency ipi ulitaka? wakat mwingne mue mna-reason cyo kuropoka tu..jaji yupi kakosea na kakosea nn? acha majungu ww

Sio bure una matatizo, Hiv Nasibu au Frida unaweza walinganisha na huyo St. Kayumba...?
 
mmmh!! ww nae mshahara lak 3 kwa mwezi na bado walipwa dusko dusko kwann usitafte means nyingne ya kuishi!!? huoni unapoteza mda au gateman????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom